Massage chairs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Massage chairs

Discussion in 'JF Doctor' started by Mfamaji, Oct 5, 2009.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Wadau naomba kuuliza habari ya massage. Huku majuu nimeaona watu wengi wanakimbilia massage kwa kutumia viti maalum. Inaonekana human massage inakuwa phased out na hizi robotic massage. Wataalam naomba kujua je hizi zina effect sawa sawa na hizi vidole vya binadamu . Zina madhara yoyote kiafya.
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Naona hamna mwenye idea na hii kitu. Let me do some reseach myself and will share with you what I come up with. Najua watu wengi husumbuliwa na maumivu ya mgongo , shingo , stress , poor blood circulation, muscles pains etc na wengi wao hupata huduma ya dawa (medical) . massage ni cure of many such problems.

  Tatizo ni pale mtu amabaye hajazoea anashauriwa kufanya massage kwenye hizo parlours ambapo anakutana na mdada asiyemjua na analazimika kuvua baadhi ya nguo zake . Wengi wanashy kufanya hivyo kwa sababu hii. Malaysia massage ni very common thing , lakini kama wewe ni dume unaweza kushawishika na ukalipia huduma nyingine zaidi ya hiyo massage. Hii haiondoi umuhimu wa massage kwa mwili wa binadamu . Sasa wenzetu wameamua kutumia massage chair therapy badala ya watu na mikono yao. Swala ni je huduma hizi zinafanana? au ipi bora zaidi?( efectiveness) Kwa kuwa wadau mmepiga kimya ina maana hamna mtaalam wa massage therapy humu ndani au ni kitu mpya kwetu sote. Naingia msituni.
   
Loading...