Masoud tena

Masoud tena

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
Hapa ameniacha Sijui alitaka kusema nini!
IMG_20180814_104143.jpg
 
Taasisi za kifedha za serikali zinafurahia taasisi za kifedha za Binafsi kuzama
..ilhali na zenyewe zimekalia kuti kavu...mda wwte chaliii....hata hvyo katka mazingira hayo taasisi za binafsi zingeweza kuokoa jahazi....na kitakachokuta kutokea ni anguko kuu la kiuchumi nchini
 
..taasisi zote ni sawa na vyombo vieleavyo baharini..kutokeapo mawimbi....zinayumba na kufikia hali ya kuzama...ZA BINAFSI KABSAA ndo ziko hoi...ili hali izi ZA (....)...zimebebwa na kijitiii..zinachekelea ..ambacho kimeunganishwa na kinginee...kisichojulikana ni uimara wa kijiti hicho...
 
Naona trafik light zote zipo green vipi usalama road uko
 
Mimi naona ana maana za binafsi zinaonekana kuwa na faida ndogo kwa nje lakini ndani zimejichimbia kwa kina kirefu. Hizi za umma zinaonekana kuwa na faida kubwa kwa nje lakini chini hamna kitu zimekalia kijiti tu tena kilichoungwa kwa kamba.
 
Na ndo nilivyoelewa..
 
Back
Top Bottom