Nitumwe na nani? Mi baba, labda we kama bado mtoto ndo unatumwa. Fafanua hili ueleweke, unajua watu kumi wanaweza kuangalia kitu kimoja lakini wakatoka na majibu tofauti. Kuna uwezekano ulivyoangalia umetafsiri tofauti na mimi ninavyotafsiri.Wewe huoni shida au umetumwa
Kwani kafanya nini aiseeee...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Masoud Kipanya anavuka mipaka toka muda hadi ana kera kabisa halafu kuna mtu anakuja hapa kusema nchi hii ina udikteta..
Huyu Mjinga Masoud ana kera sana na amepitiliza...
ebu tuoneshe tusi liko wapi?Sio kujipendekeza kwenye kasoro tuongee ukweli hiyo katuni haijashiba vizuri
Maandamano ya kumpongeza Magufuli kifupi chake kinaweza kuwa UKM au UKURA - Umoja wa kumpongeza raisView attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
anayevuka mipaka ni yule anayevunja katiba mbona hamumshambulii!!! kweli nyie ni maji ndo yamejaa kichwai mwenu mnadhani rais ataabudiwa ng'ooo katiba tu yakuheshimiwa kwanza Mwl. Nyerere alishasema kiongozi anayejaribu kuongoza kwa fikira zake bila kufuata katiba huyo hatufai kabisa;Masoud Kipanya anavuka mipaka toka muda hadi ana kera kabisa halafu kuna mtu anakuja hapa kusema nchi hii ina udikteta..
Huyu Mjinga Masoud ana kera sana na amepitiliza...
Wewe ndo wasema, Masudi hajasema, sasa kama wewe umeona tusi, basi utuambie Kuwa ni tusi. UVCCM walisema maandamano yao ni ya umoja wa kumpongeza Magufuli.... Kipanya kahoji, kwann maneno yote hayo kusiwepo kifupisho? Wewe ndo unatuletea jibu na kutuambia Kuwa ni tusi.. Kipanya hajui ujuavyo wewe.... [emoji2] [emoji2] [emoji2]View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.
Wewe ndio unalerta tafsiri ambayo haipo. Kwani Masoud kosa lake lipi hapo? Kimtokacho mtu ndicho alichojaza kichwani.View attachment 387395
Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo.
Huyu mtu ni jipu ashauriwe kufanya kazi kwa weledi wataaluma yake aache kuleta uhuni wa kijiweni kwenye magazeti.