Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

Waacheni watu na vyombo vya habari vifanye kazi na kutoa
maoni yao. Hivi munaona kila linalofanywa na CCM pekee ndio sawa tu? Au kwa vile dola iko mikononi mwenu?
Kwahyo nyie ata kama mnafanya mnaleta
Tusi liko wapi hapo,we ulieleta huu uzi ni lofa wa kiwango cha lami,na nikupe tahadhari tu kua makonda anawasaka nyie wote mnaojamiiwa na wanaume wenzenu.
kama sio tusi nieleweshe alikuwa analenga nini maana ww inaonesha unaielewa vizuri
 
Kufanyaje mbona hatukuelewi mleta uzi ?! Au unamlisha maneno
Huyu mleta uzi naona kama anataka tuamini taswira ya kile alicho kibaini baada ya kuisoma katuni ya Kipanya.[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mistaki kuwaza nje ya box aiseeee.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtu yoyote kwenye creative industry kazi yao ni kumulika what going on kwenye jamii na pia kumake you feel an emotion ukiangalia/sikiliza au soma their work. Haijalishi wether that emotion is fear, anger, sadness, happiness etc As long as they have made you feel something, then they have succeeded in doing their job.
 
Inabidi utuambie ni ipi mipaka ya uhuru wamaoni??
 
hiyo ni tafsiri yako ulivyosoma. mimi sijatafrisi kama wewe
 
.
Hata mhariri aliyepitisha katuni hii ana kesi ya kujibu.
Ingechapwa katika gazeti la udaku ningeelewa.
Lakini Mwananchi?
Mhariri umetia kinyaa wateja wako.
 
Umemaliza mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…