superfisadi
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 553
- 52
hivi kuwa mwanaharakati ni kukubaliana na kila jambo la cdm? If its so harakati imepata maana mpya
Nimekupata mkuu, tupo pamoja.Nadhani kuna haja ya kufahamu nani aliwauwa wale watu. Baada ya hapo utapata maana ya katuni yenyewe.
Binafsi nadhani hao waliouwa walidhani wataishusha cdm, kumbe wanawapandisha juu zaidi.
soma katuni yake ya tar 17 January 2011 katika gazeti la mwamnchi afu sema tena
Hapo kwenye RED inaonekana wewe ndio mpuuzi sasa, maana hata uweleweki unataka nini. kazi ipo.
Hivi jamani mtu akiwa na maoni tofauti tu basi kachakachuliwa, sio mwanamapinduzi nk. This is wrong!!
Waliomsikia Prof Shivji kwenye kongamano la katiba chuo kikuu juzi pia alisema kuwa hata kifo cha mtu mmoja ni gharama kubwa kulipa kwa mageuzi. aliwataka watu wafanye harakati za amani ili kuleta mageuzi na mapinduzi yanayotakiwa katika siasa na uchumi wa Tanzania. Does this make him amechakachuliwa? Ni suala la mtu anavyothamini uhai wa binadamu na kuchukia umwagaji damu na confrontation isiyo na sababu.
mimi nianavyojua huyu bwana mdogo ni mpiganaji-na yupo neutral-na anajitahidi vya kutosha-kushindwa kwake kuchora katuni juu ya mchakato wa arusha-nazan si kwamba amepuuza-ila hii nchi ina matatizo mengi sana-na ifahamike kuwa its just him against the world-so namini haweza kuchora kila kitu kinachotokea humu nchin na kwingineko-hata akitaka kuchora kila kitu kinachotokea hataweza-kwa hio swala ka arusha asilaumiwe sana-nae ni binadamuMnaomwita huyu jamaa ni Mpiganaji mnakosea...ni mganga njaa maana hata kama mkidai yuko neutral hana chama kama political cartoonist anapaswa kutenda haki na kuelezea hali halisi na si propaganda kama alivyofanya mbona hajawachora waliochakachua U-mayor Arusha au Said Mwema na kunyikanyaga kwake? au Polisi Arusha na mauaji? ina maana hana habari sheria za nchi hii zinasemaje kuhusu haki ya maandamano au nani ana haki ya kusimamisha maandamano! Huyu jamaa naskia ni darasa la saba kwa hiyo sina sababu ya kushangaa hamna political cartoonist anayeweza kumfikia Gado wa nation Tanzania kwa accurate analysis of political events!
Masoud ni mwanasanaa na sanaa yake haitakiwi iwakilishe upande mmoja au awe na mawazo sawa yenye kufungamana na upande mmoja. Kuna katuni zake nyingi za kuikera serikali. Mfano wakati wa mkapa inasemekana PM Sumaye alikuwa hapendi anavyochorwa especial masikio na kulikuwa na mkakati wa kuzuia kuwachora wakubwa. Masoud alimchora Sumaye anasoma gazeti la Amerika ndani yake kumechorwa katuni ya Clinton (wakati ule clinton) alikuwa Rais wa US, Sumaye kwenye katuni ile akisema kumbe hata clinton anachorwa katuni!
Mnaomwita huyu jamaa ni Mpiganaji mnakosea...ni mganga njaa maana hata kama mkidai yuko neutral hana chama kama political cartoonist anapaswa kutenda haki na kuelezea hali halisi na si propaganda kama alivyofanya mbona hajawachora waliochakachua U-mayor Arusha au Said Mwema na kunyikanyaga kwake? au Polisi Arusha na mauaji? ina maana hana habari sheria za nchi hii zinasemaje kuhusu haki ya maandamano au nani ana haki ya kusimamisha maandamano! Huyu jamaa naskia ni darasa la saba kwa hiyo sina sababu ya kushangaa hamna political cartoonist anayeweza kumfikia Gado wa nation Tanzania kwa accurate analysis of political events!
huchori katuni kwa mtizamo wako tu angalia wakina zapiro na gado unapaswa kuwa mdadisi wa mambo (a political analyst) we imagine jinsi haki za binadamu zilivyovunjwa huko Arusha na jinsi hata sheria zilivyokandamizwa halafu anakuja mjingamjinga anasema ati CHADEMA wameuwa kupata umaarufu! hivi yale magari yenye maji hayakuwepo mpaka jamaa kutumia live bullets? ni nchi gani umeona zinatumia live bullets kwa watu wasiojihami kwa silaha? zaidi ya hizi zetu za Africa? hata Israel hutumia rubber bullets kwa waandamanaji wasio na silaha! acheni ulimbukeni huyo jamaa anapaswa kuingia darasani na sio kuanglia tumbo lake tu!Hapo kwenye RED kama ni kweli basi huyu mtu ni zaidi mtu mwenye degree, kumbuka hapa duniani hatuangalia lundo la vyeti bali tunaagalia umefanya nini? Kipanya ni mmoja wa vijana wenye mafanikio makubwa katika shughuri zao, hebu tujuze wewe mwenzetu mwenye mivyeti ya vyuo vyote umefanya nini? je kuna lolote ambalo jamii ingependa kuiga kutoka kwako kama kipanya?
huchori katuni kwa mtizamo wako tu angalia wakina zapiro na gado unapaswa kuwa mdadisi wa mambo (a political analyst) we imagine jinsi haki za binadamu zilivyovunjwa huko Arusha na jinsi hata sheria zilivyokandamizwa halafu anakuja mjingamjinga anasema ati CHADEMA wameuwa kupata umaarufu! hivi yale magari yenye maji hayakuwepo mpaka jamaa kutumia live bullets? ni nchi gani umeona zinatumia live bullets kwa watu wasiojihami kwa silaha? zaidi ya hizi zetu za Africa? hata Israel hutumia rubber bullets kwa waandamanaji wasio na silaha! acheni ulimbukeni huyo jamaa anapaswa kuingia darasani na sio kuanglia tumbo lake tu!
Nini kazi ya sanaaa? ile cartoon ya tar 17 kama jamaa alivyonijuza na nilivyoiona ni sanaaaa? si uchonganishi ule na kurudisha nyuma move ya mapambano?
Mashekhe wamemponza kwa kutumia dini yake
ni kweli jamaa ni darasa la saba pale kijitonyama primary school LY 88 ila ile katuni ukiitafsiri kwa jicho la tatu ni kwamba polisi wanavyozidi kuua raia ndio wanawapa umaarufu cdm,au nyie mnaonaje