Masoud Kipanya, leo!

Kipanya ametukosea heshima, kwanini Tanzania isiwe mwanaume mzungu awe mwanamke?
 
Tunajidodosha wenyewe aya sasa wakitudharau umnalalamika
 
Kipanya ametukosea heshima, kwanini Tanzania isiwe mwanaume mzungu awe mwanamke?
Yuko sahihi kabisa, maana kiuhalisia TZ ni sawa na mwanamke aiyejua thamani yake mbele ya mwanaume...
 
Kipanya ametukosea heshima, kwanini Tanzania isiwe mwanaume mzungu awe mwanamke?
Kiuhalisia vitu vyote vizuri vinakuwa denoted na femininity..., Kwahio Meli, Maziwa, Nchi, Milima.., inaitwa She..,

Hata nchi yetu ni She
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…