Wadau,
Mwenye fikra pana ndio atamwele Masoud Kipanya katika katuni yake ya leo tarehe 15/10/2015
Nyumba ya jirani lazima warushe mawe
Kazi kwenu!
Bendera za CDM zipo juu zaidi kuliko CCM, ina maana CDM inakubalika zaidi kuliko CCM.
Losambo kuna kingine zaidi hapo. Tazama jinsi hizo Bendera hapo hatua ya mwanzo(Zimeshikana), kisha tazama hizo bendera hatua ya mwisho kabisa zimeachana halafu Bendera ya MABADILIKO imepaa zaidi na
Zaidi.
Upo sahihi,hizo bendera ameziweka kulingana na muda,kuanzia kampeni lizivyoanza mpaka sasa!
Upo sahihi,hizo bendera ameziweka kulingana na muda,kuanzia kampeni lizivyoanza mpaka sasa!