Masoud Kipanya, CZA na Fetty wa Clouds pamoja na CEO wa Jambo TV wadaiwa kuzuiwa kufanya shughuli zozote za kihabari

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Yaani kwenye hii nchi kila mtu ATAFIKIWA kama sio leo ni kesho au mwaka kesho lakini udhalimu ukiwa unatokea alafu ukawa kimya na kuwa sehemu ya watawala kwa kukaa kimya, UTAFIKIWA TU.

Hawa niliowataja hapo inaonekana wamefungiwa lakini hawataki kusema. Nasubiri kuona kesho kama watafanya kile kipindi chao cha asubuhi.

CCM Mitano Tena. Mama ametufikia Watanzania. Mama Anatosha

========

Anaandika aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob kupitia ukurasa wake:

Waandishi wa habari nguli na maarufu wa radio na TV maarufu hapa Jijini Dar es Salaam wamefungiwa na Bodi ya ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutangaza au kufanya kazi ya uandishi wa Habari kwa kile kinachoitwa "kushindwa kujisajili katika bodi ya ithibati"

Mpaka naandika habari hii Wahusika na mwaajiri wao wamefanya siri kwa mujibu wa maelekezo waliyopewa na serikali kuwa "wasifanye kazi ya uandishi wa habari na wasiseme lolote kuhusu kuzuiwa kwao"

Kwa mujibu wa kifungu cha 19 cha sheria ya huduma za habari sura ya 229 kina weka masharti kuwa

"waandishi watakaoshindwa kujisajili hawataruhusiwa kufanya kazi za kihabari"

Waandishi hawa wamewekewa kikwazo hiki baada ya kuwa mwiba katika vipindi vyao na mahojiano yao kwa wakati huu nchi inapoelekea katika uchaguzi Mkuu

Uchunguzi unaonyesha Masoud Kipanya ameingia katika kifungo hiko baada ya kuchora mchoro wa katuni uliowakasirisha watawala uliolenga kutaka media zisitumike kama Toilet Paper

siza.jpeg

Mwenyekiti wa Jukwa la Wahariri Tanzania Balile aliongea na kuonyesha hadharani kukasirishwa na mchoro huo huku akiahidi Masoud Kipanya achunguzwe na mamlaka za nchi.

Masoud Kipanya na Ciza wameshindwa kujisajili kwa sababu ya kukosa sifa ya kusomea taaluma ya uandishi wa Habari kinyume na sheria kama inavyoelekezwa katika kifungu cha 24 cha sheria ya huduma za habari sura ya 229.

Rungu la namna hii pia linaonekana kumkumba mwanahabari na Mkurugenzi wa Jambo TV, John Marwa ambaye amekuwa mwiba katika mahojiano mbalimbali na kuendesha vipindi vilivyo wakwaza watawala.

Duniani kote watu wenye uzoefu na kazi ya uandishi wa habari kwa zaidi ya miaka 10 kama Masoud Kipanya, SIZA, na John Marwa walipaswa automatically kuwa na sifa za kusajiliwa na bodi ya ithibati ya Waandishi wa Habari kwa kigezo cha uzoefu na muda waliofayia kazi tasnia ya habari.

Hawa ni baadhi ya Waandishi wa Habari wakubwa Duniani ambao hawakusomea taaluma ya uandishi wa Habari Anderson Cooper (CNN na ABC News) Stephen A. Smith (ESPN) na Trevor McDonald (ITN na ITV)

kipanya.jpeg

N.B
Kwa upande wa mmoja mtangazaji maaurufu wa radio na Tv kutoka ofisi hiyo hiyo, kwake maarufu kama imekuwa tofauti kidogo. Pamoja na kukidhia sifa zote za Sheria ya Huduma ya Habari na Kujisajili katika Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

Wenye Mamlaka wamepiga simu kwa mwajiri wake na kumtaka aondolewe katika majukumu yake kwa kile walichokiita "mkosoaji sana"
 
View attachment 3415789

View attachment 3415791

N.B
Kwa upande wa mmoja mtangazaji maaurufu wa radio na Tv kutoka ofisi hiyo hiyo, kwake maarufu kama imekuwa tofauti kidogo. Pamoja na kukidhia sifa zote za Sheria ya Huduma ya Habari na Kujisajili katika Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

Wenye Mamlaka wamepiga simu kwa mwajiri wake na kumtaka aondolewe katika majukumu yake kwa kile walichokiita "mkosoaji sana"
CZA kakaa kimama mama sana wacha apumzike
 
Masoud Kipanya na Ciza wameshindwa kujisajili kwa sababu ya kukosa sifa ya kusomea taaluma ya uandishi wa Habari kinyume na sheria kama inavyoelekezwa katika kifungu cha 24 cha sheria ya huduma za habari sura ya 229.
SASA WATU HAWAJAKIDHI VIGEZO HALAFU UNAKUJA KUDANGANYA UMMA KUWA WAMEONEWA UNAKUIWA UNAAKILI AU UNAMAVI KICHWANI HUYU BONI YAI KICHWANI HAMNA KITU WAAMBIE WAKAJISAJILI SASAHIVI WAFUNGULIWE
 
Back
Top Bottom