Masoud Kipanya Amekuja Kivingine Tena

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,567
188,771
Yetu macho.
masoudkipanya-20210125-0001.jpeg
 
Magufuli anaongea kwa uhakika ana uhakika wa kupata matibabu fasta na bora wewe sasa mnyonge mtauza hadi viwanja vya babu yako kuokoa maisha yako na utalundikwa chumba kimoja na wagonjwa wenzio mkiangaliana mnakata roho kwa zamu yule atakuwa peke yake na chumba chake na madaktari lundo si uliona trump hakuvaa barakoa aliugua na akapona chap au raisi wa brazil aliepinga corona kama ipo aliugua akatibiwa chap lakin raia wa brazili wanateketea tu

Za kuambiwa changanya na zako mmoja ana uhakika wa kutibiwa mwingine had uuze na mjichange ili utibiwe
 
Aisee!
Hilo dubushwa linajikinga na Corona very seriously ndiyo maana sasa hivi limejichimbia kijijini huko kukwepa mikusanyiko mikubwa mikubwa halafu linatangazia umma kuwa Tanzania hakuna Corona na kutamba kuwa hakuna haja ya Mtanzania kuvaa barakoa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom