Masoud huu uchokozi utakucost sooner or later

Masoud huu uchokozi utakucost sooner or later

5e7d3b0887b3e0334f6583bc9b3b2bfc.jpg
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja
Nakushauri ungeenda kuwauzia wasukuma wa mwanza.
 
Asante na wewe mdogo wangu. Tumeila salama na wajomba wataondoka kuanzia leo kurudi makwao. wewe vipi huko? Nimeambiwa ukitaja ma iron ku ..... unafungwa miezi 6 kweli?
 
Asante na wewe mdogo wangu. Tumeila salama na wajomba wataondoka kuanzia leo kurudi makwao. wewe vipi huko? Nimeambiwa ukitaja ma iron ku ..... unafungwa miezi 6 kweli?
It was wonderful dada... Huku si shwari
IMG-20180102-WA0053.jpg
 
Back
Top Bottom