hilo neno CHANGAMUKA Halina hakimiliki na mtu yoyoteHivi hilo neno changamka kwa haraka haraka unadhani ni nani katika nchii hii ambaye huwa analitamka CHANGAMUKA!?
Kwani hilo neno ni mali ya nani??Hivi hilo neno changamka kwa haraka haraka unadhani ni nani katika nchii hii ambaye huwa analitamka CHANGAMUKA!?
Kweli mkuu, ukienda Central Leo kutoka ni jumatano ya week ijayo.namuogopa mkuu ngoja ninyamaze maana nisije acha mtoto wa mwaka mmoja bila mzazi
Napenda kazi ya Kipanya....saaana. Anafundisha jamii. Tumuombee. Heri ya mwaka mpya kwetu site.
Itamkost vipi? Mbona watu mmeamia kuuza ufahamu wenu kiasi hiki?