ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Nimetoka YouTube sasa hv kwa Millard Ayo kamanda wa polisi amekana kumkamata. Kiufupi jamaa hajulikani alipo mpaka sasa
Nimetoka YouTube sasa hv kwa Millard Ayo kamanda wa polisi amekana kumkamata. Kiufupi jamaa hajulikani alipo mpaka sasa
Kashikwa ugoni tu huyo hana lolote lile.Wasiojulikana tayari wameingia kazini
Harafu MTU anatafuta nishani ya uongozi bora kwa nguvu
mtoa mada tueleze mlikompeleka masoud Kipanya
Basi kashikwa ugoniNimetoka YouTube sasa hv kwa Millard Ayo kamanda wa polisi amekana kumkamata. Kiufupi jamaa hajulikani alipo mpaka sasa
Yani hii nchi sijui inaelekea wapiBasi kashikwa ugoni
Hahahahaha we jamaaMkuu fungua kanisa unabii umetimia.
Anasema ukweli anaojuuwae yeye..
Mama yako kapata hasara kuzaa taahira km wwKashikwa ugoni tu huyo hana lolote lile.
Kwani we unaenda wapi ?!Yani hii nchi sijui inaelekea wapi
IkwetaKwani we unaenda wapi ?!
Kweli huu ni mwaka mpya...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja
Kushikwa ugoni na kupotea wapi na wapiKashikwa ugoni tu huyo hana lolote lile.
......wanapitia hapo, watakua !Ikweta
Wanakuja na Angela Kairuki au......wanapitia hapo, watakua !
Hichi nacho no kiwanda kikwetu tunaita ichiwandaaKama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja