Unamaanisha nn?Mbona kuna kipindi alikiri watu wanapukutika

Wanaenda kumalizana.Katuni inayofuata huko shimoni walikoelekea ni Habari nyingine... Huyo jamaa harudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina kiwembe[emoji23][emoji23]
Kwaajili ya dharura tu[emoji1787]
Haiwezekani!!Mimi nina kiwembe
Jr[emoji769]
Jo mpoki gwitu
Vita ni
Vita ni vita chalii hapo hakuna urafiki wa kweli ndio maana ukija kwangu uajiandae utoingia ndani mpaka nikupege K-VANT jasho likutoke alafu nachukua maji ktk friji kama lita 20 hivi ukakoge ukitoa huko nakufukiza na majani ya parachichi vitungu nyanya.hapo nakupa mapunziko kama mchana ukae juani ata masaa 2 talafu nakuga nyagi usipopiga chafya utakua salama kuingia kwangu mie nijipiga lockdown huku mapolini alafu unilete ujuaji
Wewe ni mkurya??.Vita ni

😁😁😁😁Katuni inayofuata huko shimoni walikoelekea ni Habari nyingine... Huyo jamaa harudi
Sent using Jamii Forums mobile app