Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Bia Yetu anasemaje kwani au hana akili ya kutafakari katuni na kuzielewa?
Bado yupo Lumumba anasubiri kihela cha bundleBia Yetu anasemaje kwani au hana akili ya kutafakari katuni na kuzielewa?
Mi nimeona kama dhihaka tu ile. Unasemaje hali sasa ni shwari na ilihali hujawahi kutuambia tulipokuwa kwenye hali tete!Kuna kiongozi ametangaza kuwa hali ni shwari ilhali anaelewa fika kuwa amemkumbatia corona mwenye bisibisi.
Malipo ya kazi ya jana bila shaka alikuwa hajalipwa. Akilipwa tutaanza kuona uharo wake humuBado yupo Lumumba anasubiri kihela cha bundle
Kha!,kha! Hajasema kitu mkuu.Bia Yetu anasemaje kwani au hana akili ya kutafakari katuni na kuzielewa?
Anawatia moyo wananchi .Kuna kiongozi ametangaza kuwa hali ni shwari ilhali anaelewa fika kuwa amemkumbatia corona mwenye bisibisi.
Wakati hata yeye mwenyewe anaiogopa bisibisi ya corona.
Ah we jamaa,wasije wakanitoa meno bure.Hebu fanya kumtag huyo pombe yetu
Kha!kha!.Katuni inayofuata huko shimoni walikoelekea ni Habari nyingine... Huyo jamaa harudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nimeona kama dhihaka tu ile. Unasemaje hali sasa ni shwari na ilihali hujawahi kutuambia tulipokuwa kwenye hali tete!