Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,143
- 56,602
Au unataka tuanze kupasua maiti tukiwa A level ?Mbona tunapasua panya na chura ?Mtu katoka na masomo 10 Olevel,then anadrop mengine na kubakiza major 3 tu.Unasema hajapunguza ?Hapana mkuu, si kweli mnapunguzia mtu mzigo wa masomo,au material za kusoma..kila level ina challenges zake..ambazo haziwezi kuwa compared na level above ama level below...kufikia ndoto zako mojawapo ni kusoma kitu unachotaka kufanya in the future...mfano uliotoa wa Udaktari, unatosha kabisa kuelezea wazo langu..kusoma O level masomo mengi mengi ila A level mtu ana specialize kusoma anayotaka kusoma in the future... hii haimaanishi mtu asome somo moja, ila kwa kila combination mtu kuwe na component ya somo mtu analolitaka kusoma kwenye future....