Masomo ya chuo kikuu yafundishwe kwanza secondary(advanced level)

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,475
Reaction score
33,038
Hello JF,

Mnaonaje masomo ya degree(vyuoni) yaanze kufundishwa basics A level?

I believe mtu akisoma Advance then aksoma Diploma ama Degree ya somo hilo hilo, atakua na confidence hata kujiajiri..........

Sio sasa miaka mitatu ya chuo inawezekana inatosha..ila mimi sidhani inatoa watu competent na ndio maana watanzania tunafeli vibaya kwenye soko la ajira as compared na nchi nyingine....embu fikiria mtu anaenda kwa mfano kusoma Accounting wala hajui basics za Excel kisha anafundishwa ku cramm 'matirio' ya anachosoma, baada ya miaka mitatu ya chuo,huyu kweli ameiva????

********* however nawapa heshima yenu wote mliomaliza chuo salama,either by independent learning ama kwa Ku cramm, sio kazi rahisi!..LOL
 
Confidence ya kujiajili haihitaji degree, diploma au advance,

Ukisomea degree fulani au diploma fulani, maana yake unaandaliwa kuwa mfanya kazi.

Kila unahokiona kinachohusu elimu kipo ktk mpangilio maalum.
 
Mbona sasa hamuwapi kazi na hawajiajiri, nini tatizo?
 
Kwamba tuondoe kombi halafu A'level waende wasome Acc,CS,udaktari n.k

Of course sio masomo yote yatafaa kufundishwa..vitu kama u nurse udaktari ni vigumu,ila masomo mengine..hata u engineer,Accounting,Information Technology vyote vinafaa kuwekwa Advanced Level,
 
Hello JF,

Mnaonaje masomo ya degree(vyuoni) yaanze kufundishwa basics A level?

I believe mtu akisoma Advance then aksoma Diploma ama Degree ya somo hilo hilo, atakua na confidence hata kujiajiri..........

Sio sasa miaka mitatu ya chuo inawezekana inatosha..ila mimi sidhani inatoa watu competent na ndio maana watanzania tunafeli vibaya kwenye soko la ajira as compared na nchi nyingine....embu fikiria mtu anaenda kwa mfano kusoma Accounting wala hajui basics za Excel kisha anafundishwa ku cramm 'matirio' ya anachosoma, baada ya miaka mitatu ya chuo,huyu kweli ameiva????

********* however nawapa heshima yenu wote mliomaliza chuo salama,either by independent learning ama kwa Ku cramm, sio kazi rahisi!..LOL

Degree zenyewe mbaaaya
 
Of course sio masomo yote yatafaa kufundishwa..vitu kama u nurse udaktari ni vigumu,ila masomo mengine..hata u engineer,Accounting,Information Technology vyote vinafaa kuwekwa Advanced Level,
Yapo mbona.Sema ni kwa private schools.
 
Chuo ni kila mmoja aenda somea fani. Ni ngumu kufundisha masomo ya chuo A level kwa sababu combination moja ya A level inatoa fani nyingi. Mfano PCB kuna wengine wanakwenda kuwa wafamacia,wengine éducation,kuna wengine waenda soma Bcom etc.
 
Nimekuelewa,nachotaka ni watu kutoka/kumaliza safari ya elimu wakiwa wameiva,kuna masomo /combination kweli haiwezi kufundishwa A level ila mengine mengi tu yanafundishika..kwa mfano umetaja Pharmacy, hivi ni kweli hatuwezi tukaunda syllabus inayfundisha basics mtoto akaanza ku specialize akiwa secondary???
 
Unajua pia maisha hayana formula. Ndo maana kuna mtu anasoma PCM akiwa anataka kwenda Engneering, ila baadae anabadili gia angani anakwenda Bcom.
Kwa kutokea form four,baada ya hapo ndo maana kuna diploma na certificates. Kwa mtu anaetaka kujikita kwenye fani mapema anayoipenda kabisa anaweza kwenda diploma ya Pharmacy na baadae akaendelea degree.
Fikiria watu wa PCB mnaanza kuwafundisha pharmacology.Mimi naona hizi contents ambazo ni kama mizizi ili kuweka matawi baadae huko vyuoni kwa course mbalimbali. Basics zote zipo nitasemea PCB maana ndo naifahamu zaidi Analysis,organic chemistry ndo baadae zinatumika huko kwenye kuingia deep kwenye madawa n.k.Biology ndo ukiwa unaingia deep kwenye physiology na Anatomy ndo unakuwa na misingi kabisa unakumbuka femur,Tibia sijui na mifumo yote unakuwa na basics tayari.
Mimi niseme tu kama mtu anataka kuingia deep kwenye fani anayoipenda kwa dhati akimaliza form four aende direct chuoni akaanze na diploma.
 
Vipi tukianza basic skills kuanzia sekondari?

Katika miaka minne tukafundisha 2 Year Formal na 2 Years 21st Century Skills kwa kutoa elimu ya vitendo katika Mekanika, Umeme, Carpentry, Plumbing, Computer, Ushonaji, Ujenzi, Kilimo, Maabara and co.?

Tanzania halitokuwa taifa lenye vyuo kila kata?
 
iwe kwa wote,au wewe huoni kama ni wazo zuri?
Itakuwa burdensome.. Hata hao private schools si lazima...Nao wanayasoma partially tu.
Ila huo ndo utaratibu kadri unavyoenda juu unazidi kuspecialize...Hata huo uhasibu au IT anasoma basics zake A'level.
Halafu pia mwanafunzi anakuwa na option nyingi zaidi.Akiwa A'level atachagua anachotaka akisomee kati ya machaguo mengi mengi kulingana na kombi yake.
Hata akitaka kusomea anachopenda mapema,pia inawezekana.Anaweza kuikacha Advance akaingia chuo.So machaguo yote mawili yapo,ashindwe mwenyewe tu.
 
Unajua pia maisha hayana formula. Ndo maana kuna mtu anasoma PCM akiwa anataka kwenda Engneering, ila baadae anabadili gia angani anakwenda Bcom.
Kwa kutokea form four,baada ya hapo ndo maana kuna diploma na certificates. Kwa mtu anaetaka kujikita kwenye fani mapema anayoipenda kabisa anaweza kwenda diploma ya Pharmacy na baadae akaendelea degree.
Fikiria watu wa PCB mnaanza kuwafundisha pharmacology.Mimi naona hizi contents ambazo ni kama mizizi ili kuweka matawi baadae huko vyuoni kwa course mbalimbali. Basics zote zipo nitasemea PCB maana ndo naifahamu zaidi Analysis,organic chemistry ndo baadae zinatumika huko kwenye kuingia deep kwenye madawa n.k.Biology ndo ukiwa unaingia deep kwenye physiology na Anatomy ndo unakuwa na misingi kabisa unakumbuka femur,Tibia sijui na mifumo yote unakuwa na basics tayari.
Mimi niseme tu kama mtu anataka kuingia deep kwenye fani anayoipenda kwa dhati akimaliza form four aende direct chuoni akaanze na diploma.

mimi naona upige kelele kuwe na flexibility,mtu yeyote aliyemaliza four ama six na akafaulu vizuri basi asome fani yoyote anayoipenda,hii mambo ya combination inawafanya watoto wasiwe na choice, kwa mfano huyo alieyebadili gia angani na kusoma Bcom badala ya engineering, angepewa options huku chini labda angechagua hio Bcom au angesoma engineering na university angechagua Bcom baada ya kuona hapendi tena engineering...kuwe na flexibility huko vyuoni..mbona sio kitu kigeni vyuoni kuchanganya masomo, kwa mfano Business na Engineering???

Umeongelea kuhusu PCB,Biology, Chemistry nk ni kweli ni foundation ya Pharmacy,udaktari na Kadhalika , sidhani kama umeniewelwa contents mnazosoma A level ni basics zinazowafikisha chuoni kwa system ya sasa,ila contents za A level labda Pharamacy zingekua more specialized,more focused..na zikiwa tailored ku meet vigezo vya kusomea Pharmacy in higher level,then kwa nini watoto wasipewe choice hii....?????....

Umenishangaza hapo uliposema mtu akitaka kuingia deep achukue Diploma, mkuu kuna mtu anayesoma fani asiingie deep???naona una acknowledge mfumo wetu wa sasa hautoi wahitimu 'deep' and specialization inahitajika kuanzia level ya chini..LOL
 
Back
Top Bottom