ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
Join date 30 august 2007
rep power 0
aaaaaaaah iiiiiiiiiihiii acha nilie mie,kweli eeeh?
Join date 30 august 2007
rep power 0
Wee endelea tu kunifatafata.
Wee endelea tu kunifatafata.
umeshaniandikia sana hilo neno hauna lingine?imtenda akitendewa..........malizia
na ajiulize yeye
je huko atakuwa safe kwa asilimia ngapi je ataweza kuvumilia?ngoma
droooo
Mwambie jamaa yako akamkabdhi mkewe kwa sangoma, huko atakuwa salama.
Kama yeye hamuamini mke wake, kwanini alimuoa?
This is a private business. HAYATUHUSU. Leteni mada za maana.
achana na huyo mjinga amekosa kazi bado ana u element wa facebook ndo unao msumbua.Pumbafu zake na comment yake ya copy and paste.
Mwanamalundi
Nina ombi binafsi,andaa thread ambayo ni ya maana ili tupate mfano.
Kiongozi mzuri ni yule anaetoa mfano.Nasema hivi kwa sababu umechomoza ndani ya JF kama mkosoaji wa thread za wenzako.
Habarini Wakuu!
Kuna jamaa yangu wakaribu sana kaja kuniomba ushauri,
Kisa ni hivi, Anatarajia kwenda kusoma mwezi wa 9 kwa miaka 5 ijayo! Lakini hawezi kwenda na familia yake (wife with 2kids) Sasa isue ni kuwa ataweza muamini mke wake kwa muda woote huo(Meaning amuache Tz while she is just 26yrs), Aende na wife na familia yake kibishibishi(ukizingatia itamuwia vigumu kiuchumi) au aende amuache wife akijua sio wake tena!
Keep in mind anamuacha nyumbani kwake na usafiri wake pia anamuachia!
Binafsi nimemuambia Kama mungu alipanga waishi pamoja atamkuta safe, otherwise sio vibaya kwani ana watoto wake na ndio itakuwa urithi wao! Wadau kwa ushauri zaidi hapa manage jamaa yuko desperate
ndugu yangu,ataitoa wapi mada huyu kama comment tu anacopy na kupaste je akiandika mada nzima ?we mpotezee tu kama alivyosema Billie
​ Nasema NASEMA KWELI leo umesemaHahahahah! Bujibuji hapo niliponenepesha ndio penyewe! Ila mimi binafsi hata mume kusema aniache for two years sitaki kusikia hizo habari lol! Ngumu sana! BTW naipenda hiyo Avatar yako, it makes me smile and laugh!