and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Nilitaka kufahamu hawa wasomi wetu wanaofundisha na kufanya tafiti nchini hususani waliopo vyuo vikuu vya umma. Maslahi yao yapoje?
Itanisaidia kuamua kama niwe Profesa au laUkishajua maslahi yao yalivyo itakusaidia nini?
Ngoja wazoefu wajeNilitaka kufahamu hawa wasomi wetu wanaofundisha na kufanya tafiti nchini hususani waliopo vyuo vikuu vya umma. Maslahi yao yapoje?
Professor J naye ni Professor! Professor Matungi naye ni Professor! Kitaa kina watu kibao wanajiita Professor! Usikonde kijana!Itanisaidia kuamua kama niwe Profesa au la
OkayNilitaka kufahamu hawa wasomi wetu wanaofundisha na kufanya tafiti nchini hususani waliopo vyuo vikuu vya umma. Maslahi yao yapoje?
Yapo jalalani; kumbuka profesa mmoja alikili kutolewa huko na Magufuri mpaka aakaanza kumuabudu.yapo yapo
Cha kwa kwanza wana akili ndio maanana wavumbuziNilitaka kufahamu hawa wasomi wetu wanaofundisha na kufanya tafiti nchini hususani waliopo vyuo vikuu vya umma. Maslahi yao yapoje?
PoleniPosho hamna huko.