Maskini watalii, msitusemee mkirudi kwenu tafadharini.........

Maskini watalii, msitusemee mkirudi kwenu tafadharini.........

DON KILLUMINATI

Senior Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
192
Reaction score
83
mediaManager


darfloodspix.jpg
 
Mzee usihofu, maswala ya majanga hayana ujanja. Hakuna cha kuona aibu kwenye hilo
 
na hawa nao wamezidi kutembe tembea kuta kama wauza karanga badala ya kutulia sehemu moja...
 
Kila penye mazuri, na mabaya yapo. Wanataka waburudike tuuuuuuuuu na vivutio vyetu?????
hicho nacho kivutio tosha, ili wakawahadithie na wenzao.
 
haya mambo ya kawaida sana tena wao hua wanakumbwa na vimbunga,radi,mvua na mafuriko kwa wakati mmoja. Nje huwezi kwenda kuna radi na ndani mafuriko yani kunajaa maji pia paa linatoka juu sababu ya kimbunga sasa hio ikitoke bongo si patakua na kizaa zaa.
 
hakuna aliyewaambia bongo huwa tunafungulia vyoo vyetu kwenye disaster kama hizi?
 
Hahahahaha teh teh teh kaka hii nimeipenda. Ndani mafuriko, nje radi na paa linang'olewa na kimbunga dah hahahaha. Naomba isijetokea Tanzania kwa hali tulionayo na umasikini wetu tunaweza tukafa nusu nzima ya idadi ya watanzania nchini.
 
mkuu, umewaita watalii kwa vigezo vipi? mbona ni watanzania wenzetu tu hawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom