Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

Humu ndani ya hii Forum ya MMU kuna subforum inaitwa Love Connect, ingia humo utakutana na Members wa Jinsia ya ME wenye shida kama yako ya kutafuta mwenza. Experience inaonesha kuna watu wamefanikiwa, na mmoja wao ni Member humu alishatangaza nia ya Ndoa anaitwa Saint Ivuga, mwenzie kampata humu humu JF.
Mtangulize Mungu kwa kila Jambo.

pitia jukwaa la loveconnect la jf,anza kuwatumia message wale wote wanaosema wanatafuta wake....i mean actively search for your husband usisubiri kufuatwa pekee ukimuona kaka huko mabarabarani umempenda usimsubiri akufuate......................mshushie verse lol am sure ukijitahidi kuzishusha kwa kila unayemuona na kumpenda utampata tu mmojawapo.
 
je wewe ni bikira????????
probably not...

je una sex?probably yes...

na akina nani??????......

how about uanze kuwaambia kila anaetaka ku sex na wewe kuwa 'unajiona huna thamani bila ya kuolewa'
na kwamba uko 'desperate ' kuolewa by 'any means' na hutajali 'lolote lingine' ili mradi akuoe????

Duu mkuu hii thread yako imenifurahisha sana, siku nikiingia studio kutoa track yangu nitakutafuta uniandikie chorus
 
...fanya yoote. Lakini usije jaribu kulazimisha ndoa ya fasta fasta ili 'uonekane' umeolewa. nawafahamu akina dada lukuki wanaolia, waliotoka, na walioangamia na ndoa za KUONEKANA. Maisha si ndoa, badili mtazamo.
 
utapata.mda wako hujafika.unapohesabu walio olewa hasabu na walioachika wako nyumbani kwao ndo utaona hamna umuhimu wa kukimbilia.siku ikifika utaolewa tu.
 
Pole sana. Miaka 32 ni umri ambao hustahili kuanza kukata tamaa ya maisha na kujiona huna thamani. Endelea na maombi yako na hatimaye yanaweza kusikilizwa nawe kujaliwa lile ulitakalo, pia kama kuna chochote kile ambacho unakiona labda tabia, mavazi yako n.k. ambacho labda kinafanya wanaume wawe mbali nawe basi ukirekebishe.
 
Ukimuumba mungu anachelewesha sana lakini akikupa anakupa mazima.
ukimtumia shetani fasta utampata mume ila hutadumu nae.
kama unampenzi sasa angalia vitu vifuatavyo
  1. usionyeshe sana kama unawivu, mwanaume wengi hatupendi, tunapenda kuwa huru; yale mambo yenu ya uko wapi, na nani, unafanya nini, huyo ndio nani? wanaume wengi hawapendi.
  2. Mjali yeye na ndugo zake pamoja na rafiki zake kama unauwezo some times uwe unawasaidia kidogo
  3. usiwe omba omba sana kwa huyo mpenzi wako
  4. usimlazimishe sana akuowe, ila onyesha kumpenda na kumjali mambo mengine yatafuata
  5. kwa vile unatamani kuolewa usithubutu kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja ukizani labda ukiwa na wengi basi mmoja kati yao anaweza kukuoa; kuoa ni comitment ya maisha wanaume wengi kabla ya kuoa huwa wanachunguza tabia.
 
Kwa ninavyojua siku hizi kuna asilimia inayozidi kuongezeka ya wadada wanaooa. Hapa simaanishi wanachukua wanaume wanawaweka kwao, namaanisha wanailazimisha ndoa hadi kinaeleweka. Kuna wanaume wengi tu hawawezi kuresist force ya mwanamke. Tafuta mmoja, tumia mbinu muafaka, lazimisha ndoa ifungike...
 
Dah! kulazimisha ndoa tena!? Hili la kulazimisha ndoa naona limekaa kushoto kushoto. Mie siliafiki kabisa.
 
Kwa ninavyojua siku hizi kuna asilimia inayozidi kuongezeka ya wadada wanaooa. Hapa simaanishi wanachukua wanaume wanawaweka kwao, namaanisha wanailazimisha ndoa hadi kinaeleweka. Kuna wanaume wengi tu hawawezi kuresist force ya mwanamke. Tafuta mmoja, tumia mbinu muafaka, lazimisha ndoa ifungike...

maisha yatakuwa matamu kweli na hiyo ndoa ya kulazimishana!
 
chukua magadi kilo tano changanya na pilipili kichaa nusu kilo,weka maharage yaliyo kwisha pikwa chini ya mvungu wa kitanda kwa muda wa wiki kisha changanya vyote uoge.......hiyo ni dawa ya kuvuta nyota ya kwako iko mbali sana.
dah! Nimecheka mpaka basi!lol .
 
Naona limeshakuwa janga la Kitaifa njemba hazitaki kuoa siku hizi bali kula uroda tu halafu zinasepa, siyo kama ilivyokuwa enzi Wazazi wetu.

yaani nyie manjemba mnatisha. Sio vizuri BAK.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duh, hili sasa linataka kuwa janga la kitaifa.

ndo huolewi.yaani wewe husninyo siku ukiolewa paka ataota pembe.tatizo lako huna heshima kwa wanaume.nani atakuoa wakati humheshimu?wewe husninyo wanaume unawaona kama wasichana wenzio.na mwaka huu utajuta kuzaliwa.mwaka jana umesema ooh! naolewa sijui nna mchumba kakutosa.safari hii unamganda uporoto01.unafikiri uporoto ataoa bibi kizee ka wewe?
 
relax... Muombe mungu akupatie uvumilivu! Alaf ukipata rafiki onyesha unamjali na ucwe rahic kufanya mapenz na kila akuahidie kukuoa...
 
Mdada embu tuliza akili kuna maisha nje ya hayo tena matamu tu, muda ukifika utapata na ukilazimisha ndio kabisaaaaa hatokei hata wa dawa
 
je wewe ni bikira????????
probably not...

je una sex?probably yes...

na akina nani??????......

how about uanze kuwaambia kila anaetaka ku sex na wewe kuwa 'unajiona huna thamani bila ya kuolewa'
na kwamba uko 'desperate ' kuolewa by 'any means' na hutajali 'lolote lingine' ili mradi akuoe????

El Jefe, por favor taratibu mkuu. Ingawa kuna haja ya majibu lakini utazidi kumuumiza huyu binti!
 
ndo huolewi.yaani wewe husninyo siku ukiolewa paka ataota pembe.tatizo lako huna heshima kwa wanaume.nani atakuoa wakati humheshimu?wewe husninyo wanaume unawaona kama wasichana wenzio.na mwaka huu utajuta kuzaliwa.mwaka jana umesema ooh! naolewa sijui nna mchumba kakutosa.safari hii unamganda uporoto01.unafikiri uporoto ataoa bibi kizee ka wewe?

hili jukwaa lishaingia kurusi
 
Back
Top Bottom