Ivi pembe za tembo zinatengenezwa nini ambacho thamani yake inazidi uhai wa tembo mwenyewe?
Hakujua nini maana ya kuwa kiranja mkuu wa ikulu ?
Ukatili huu utaisha lini ee mungu, halafu utakuta MTU anasema I did that. God forbid lakini ningekuta wanafanya tendo hilo I could do the same to them