Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,105
- 136,783
Watanzania sio wajinga kama ulivyofikiria...!! Hatuwezi kumpa fisi atawale nchi..!! Mpaka upinzani utakapokua upinzani kweli na sio timu ya wasakatumbu ndo tutawachagua upinzani...:hand:
Umenena vema... Nchi likuwa inauzwa.. ona Tuliaminishwa kwamaa nchi ingegeuka kuwa ya maziwa na asali ndani ya siku 100 na elimu bure kwa kukopa gesi iliyo ardhini kama walivyofanya Nigeria.............ila nafurahi kuona umepokonyoka toka kwenye mikono ya walanguzi ambao walikuwa na uchu wa kukupeleka mnadani huku wakitokwa na udenda wa tamaa ya fedha ambayo wangepiga baada ya kumpata mnunuzi toka ughaibuni! MUNGU akulinde Ooh Mama Tanzania!!!!!
Watanzania sio wajinga kama ulivyofikiria...!! Hatuwezi kumpa fisi atawale nchi..!! Mpaka upinzani utakapokua upinzani kweli na sio timu ya wasakatumbu ndo tutawachagua upinzani...:hand:
Watanzania wanaakili sana. hawawezi kukabidhi mifugo yao kwa fisi aliyerarua mifugo hiyo eti kwa kuwa kuna kikundi cha watu kinawaaminisha kwamba fisi huyo sasa hana tena meno na kucha kwakuwa wamenufaishwa
Kwani kimetokea nini? Mbona watu wanalalamika humu kuiponda tv.
UKAWA jipangeni tena, Lowassa hakuwa mtu potential kuwa rais wa nchi hii.
Ni kweli lkn ameipa nguvu sana upinzani, wajipange 2020 wanaweza kuchukua wakimsimamisha mgombea mwingine, ccm Kama watashinda wana changamoto sana wanatakiwa kurekebisha mambo mengi ili wananchi waanze kuiamini. Matokeo bado lakini tusuri
inamaana wananchi hawaiamini!!!
wameipaje ridhaa?
Atakayetudharau watanzania hana kosa.
Msitulaumu Watanzania, tatizo UKAWA bado hamjajiandaa na hamna utayari wa kupata madaraka makubwa ya kuiongoza nchi hii.
Hii iwe nafasi ya kujipanga kimkakati, itifaki, ilani na sera na zisiwe propaganda tu kuwa mnaweza.
Vilevile kwa sasa haikuwa na maana saaaana😛😛😛 kuwaondoa CCM A na kuwaweka CCM B. Kwa kifupi zaidi ni hvy
Ccm Ina madudu yake na kila mtu anayajua. Mgombea waliomsimamisha ndio jembe na mm naamini endapo atashinda atainyoosha serikali na ccm pia.
Tafiti nyingi zinaripoti kuwa wanaoiunga ccm mkono ni wajinga na watu waliojikatia tamaa..!!
labda watanzania tumeshazoea shida na kuona kuwa tuko peponi.
Lack of exposure ni shidaaaa
Hasa masukuma hovyoooo kama nyumbu kule Serengeti