boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
Labda watanzania tumeshazoea shida na kuona kuwa tuko peponi.
Lack of exposure ni shidaaaa
Not only lack of exposure high level of ignorance ongezea na uelewa wa mambo Ku okoa taifa hili inahtajika elimu kwenye kila ngazi
Kwani kimetokea nini? Mbona watu wanalalamika humu kuiponda tv.
Tafiti nyingi zinaripoti kuwa wanaoiunga ccm mkono ni wajinga na watu waliojikatia tamaa..!!
Utaisoma namba bitch! CCM inarudi tena na sasa Magufuli atawanyoosha kisawasawa. Kwa akili zako ndogo ulitaka yule anayekunya kwenye nguo ndio awe rais wetu?? Sahau, Watanzania wamekataa mtu anayejinyea, wamemchagua mtu wa kaziTu na anaongoza kwa kura nyingi sana bado kuapishwa tu. Nilisema mimi, kamwe mabadiliko hayaletwi na wanywa viroba na wapumbavu.
Ninakupenda sana Tanzania pia ninakuwazia utakaporudi tena kwa watu walewale wanaokutesa miaka minne na kukubembeleza miezi mitatu
Tanzania ninakufananisha na yule Jamaa ambaye alitekwa na kuteswa sana akapata nafasi ya kutoroka ila alitoka nje na kurudi tena ndani kisa anaogopa Waliomteka na kumtesa labda watamuona
Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawataki kujifunza kutokana na makosa nakupenda Tanzania
Tanzania upo kwenye mikono ya watu ambao hawana sifa kuu ya mjasiriamali ambayo ni (risk taker)
Narudia tena chozi litanitoka kusikia unarudi au unafunga tena ndoa ya miaka mitano na Mume ambaye anakutesa kwa miaka minne na kukufariji kwa miezi mitatu nawe unasahau mateso ya miaka minne
unfortunately huyo unayemuita mjasiriamali na risk taker ni mkamuaji tu wa maziwa bila kumpa ng'ombe majani. ni tapeli mvunaji toka umma bila kuwekeza ni mwizi wa mali ya umma na mnyonyaji. we need true entrepreneurs not trickstars.Ninakupenda sana Tanzania pia ninakuwazia utakaporudi tena kwa watu walewale wanaokutesa miaka minne na kukubembeleza miezi mitatu