Nakubaliana na wewe FF, CCM ndiyo ilimkataa Rostam kwa kumwita gamba na kashfa nyingine za siasa uchwara mpaka akaamua kuachia ngazi, kwa mantiki hiyo CCM haitashinda Igunga kwa vile haimtaki Rostam bali ina taka fedha zake tu na yeye hilo analitambua, na hapo sasa ndiyo mtamjua RA kuwa ni bingwa kucheza karata tatu.