Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
Mama yetu rita mlaki amezidiwa gafla jamani sijui ugonjwa gani ameshuka salama kabisa kutoka kwenye ndege
na hivi sasa wanampeleka kwa tax ikiwa na honi za kufa mtu kutoka arriv airpor imebidi apelekwe
na wheelchair hivi bado mbunge nimeshangaa wakimpandisha kwa taabu kwenye tax wakati
kuna kimulimuli cha taa pale jamani wamekosa hata kuomba wasaidiwe alipofika kwenye tax alianza
kutoa machozi huku akiongea na mmoja wa watoto amkimbizie dawa zake na kadi yake wakutane aghakan
pole mama natumaini utafika salama mungu akupe uhai