Maskini Rita Mlaki azidiwa Airport akimbizwa Aghakhan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini Rita Mlaki azidiwa Airport akimbizwa Aghakhan

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 5, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,189
  Likes Received: 3,120
  Trophy Points: 280
  Mama yetu rita mlaki amezidiwa gafla jamani sijui ugonjwa gani ameshuka salama kabisa kutoka kwenye ndege
  na hivi sasa wanampeleka kwa tax ikiwa na honi za kufa mtu kutoka arriv airpor imebidi apelekwe
  na wheelchair hivi bado mbunge nimeshangaa wakimpandisha kwa taabu kwenye tax wakati
  kuna kimulimuli cha taa pale jamani wamekosa hata kuomba wasaidiwe alipofika kwenye tax alianza
  kutoa machozi huku akiongea na mmoja wa watoto amkimbizie dawa zake na kadi yake wakutane aghakan
  pole mama natumaini utafika salama mungu akupe uhai
   
 2. G

  Greard Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nampa pole lkn sio mama yetu.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,189
  Likes Received: 3,120
  Trophy Points: 280
  mkapa akikusikia???
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  siku zote huwa siamini thread zako maana uwa unareport kutoka airport huku ukikimbia
   
 5. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  hello no maybe this time around its a very serious issue
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,189
  Likes Received: 3,120
  Trophy Points: 280
  kama uamiini alietoa bikira utaamiini yoyote unahis
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,988
  Likes Received: 12,499
  Trophy Points: 280
  We Pipidi, uchimchingichie Chenkapa, muhuchika halichi kecha tanguliya mbele ya aki, chi ni yule mchee aliyekuwa uchalama wa chaifa!.
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,189
  Likes Received: 3,120
  Trophy Points: 280
  kuna chemeji yangu humu...polen basi nzee alikuwa anansaidia nzee mwenzake watu wabaya jamani
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,213
  Trophy Points: 280
  Pole mama rita,its me ur kaka sita
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,111
  Likes Received: 2,076
  Trophy Points: 280
  Mama yake nani?? Miaka nenda rudi wapo kwenye system hebu wastaafu.
   
 11. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 689
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Pole mama ritha mlaki.. Kule kwetu masasi tunakutambua kama shemeji yetuj
   
 12. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,056
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  utani mwingine bana kha!! Pole yako Mama Ritta.
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  amezidi nae kazeeeka bado alikua anang'ang'ania madaraka ili kuapata noti kumbe stress 2 alikua anajitaftia...........ange2lia tu home kucheza na wajukuu,n'wayz i fee sorry 4 her
   
 14. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Nimewahi kufanya nae kazi ni mkali na anaporomosha matusi mpaka ya kitandani !
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  <br /> <br / unataka kuniambia alikua mtu wa karibu (mupenzi) wa mh. Naniiii? Jn lk limenitoka kdg.
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  <br /> <br / mwe!
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,096
  Likes Received: 3,865
  Trophy Points: 280
  pole zake nyingi
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,039
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Pole....
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,189
  Likes Received: 3,120
  Trophy Points: 280
  chi ucheme tu chumbile cha mlungu cha kumemena
   
 20. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 856
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hawa hawajazoea kuumwa, hata hangover wanakimbilia ospitali. Kesho india....!
   
Loading...