Maskini Rita Mlaki azidiwa Airport akimbizwa Aghakhan

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Mama yetu rita mlaki amezidiwa gafla jamani sijui ugonjwa gani ameshuka salama kabisa kutoka kwenye ndege
na hivi sasa wanampeleka kwa tax ikiwa na honi za kufa mtu kutoka arriv airpor imebidi apelekwe
na wheelchair hivi bado mbunge nimeshangaa wakimpandisha kwa taabu kwenye tax wakati
kuna kimulimuli cha taa pale jamani wamekosa hata kuomba wasaidiwe alipofika kwenye tax alianza
kutoa machozi huku akiongea na mmoja wa watoto amkimbizie dawa zake na kadi yake wakutane aghakan
pole mama natumaini utafika salama mungu akupe uhai
 
we pipidi, uchimchingichie cha mkapa, muhuchika kecha tanguliya mbele ya hachi, ni yule mchee aliyekuwa uchalama wa chaifa!.
kuna chemeji yangu humu...polen basi nzee alikuwa anansaidia nzee mwenzake watu wabaya jamani
 
Mama yake nani?? Miaka nenda rudi wapo kwenye system hebu wastaafu.
 
Pole mama ritha mlaki.. Kule kwetu masasi tunakutambua kama shemeji yetuj
 
amezidi nae kazeeeka bado alikua anang'ang'ania madaraka ili kuapata noti kumbe stress 2 alikua anajitaftia...........ange2lia tu home kucheza na wajukuu,n'wayz i fee sorry 4 her
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom