Maskini Rita Mlaki azidiwa Airport akimbizwa Aghakhan

mwaya hiiya leo sio hangover mmama hana nguvu kabisa kama kanyweshwa BWIMBWI
kule songea wanalijua angekuwa anakunywa mambo yetu ya kienyeji ningehisi ila alivyochoka leo akuna bia yenye kumchosha mkuu
kana afya yake kiwango sio mchezo kabia mpaka kamlaze hoi kamehangaika kweli na kale kafya
 
isije ikawa ndo safari ya kwa mwenye dunia yake kamuita

inaonekana ujaimba hizi nyimbo siku nyingi

HALELUYA TUTAONANA HALELUYA TUTAONANA TUTAONANA MBINGUNIKWA BABA ALELUYA TUTAONANA NA KA SIMBA TUTAMWONA *3

KINGINE

MBINGUNI KUNA MAKAO MAZURI SANA MBINGUNI KWELI KUNA MAKAO MAZURI SANA NAKWAMBIA HIZI NYIMBO UKIIMBA HATA KWENYE BASI UKIMKUMBUKA MTU NAKWAMBIA KUNA KABILA WANAZIOGOPA WANASHUKA HATA KABLA AWAJAFIKA VITUO VYAO YAANI UKIWALIZA HIVI WANAWAZA MENGI AJABU ...GOODNEWS JAMANI NAAMBIWA ALIPEWA MAPUMZIKO AMETOKA JIONI HII ALIKUWA PALE EMERGENCY CHINI YA UANGALIZI MAALUM USINIULIZE UPI
 
hivi tutamkumbuka kwa lipi jema alofanya enzi akiwa waziri? utitiri wa maduka? labda shule yake huko mbezi.
 
Hivi sasa ni saa nne na dk 56
napita tu
 
Back
Top Bottom