Lowassa amekuwa PM haifiki hata miaka 3. Amepiga deals zake kama ambavyo watangulizi wake walivyofanya. Kilichomsibu ni pale alipoamua kuwajibika, kumbe kizazi cha leo hatuhitaji watendaji kuwajibika. Hebu tuwatazame akina Nkapa, mama Nkapa, Sumaye, Msuya na mawaziri wa enzi hizo akina Mramba, Yona, Simba, Diallo etc. Kinachomsibu huyu ni kuwajibika kwake tu.
Yanitatiza sana kuamini kama kweli EL ndie amesababisha hali ya maisha kwa watanzania kuwa ngumu kiasi hiki, NOP.