Maskini na chuki kwa Lowassa


Mwanaharamu na mmbea mkubwa wewe! Huna ubavu wa kutukana na kukebehi mzaza wa mwenzio.Ninyi matajiri sasa mnataka kutununua maskini na haki zetu,maana hii imethibitishwa tjwa PM wetu jinsi anavyokumbatia wakubwa.
 


I do not believe that I am reading this thread on JF!
 

yeye ni mwezi mkubwa kuliko hao wote. ameibiwa watz na hastahili kurudi kwa helz za wazt kugombea madaraka.
Kama na wengine nao walikuwa wezi mbona wako kimya, yeye tu ndio anahangaika?
 
watu wanatabu sana umaskini unawafanya wav wanakuwa mpaka wavivu wa kufikiri

Ni kweli umaskini unatufanya wavivu wa kufikiri, kama ulivyofikiri wewe na kuja na hii thread yako ya Junior high school!:biggrin:
 

Karibu JF
 

Eti nini?……..Sijakuelewa vizuri tajiri wa ujinga hivi una maana kuwa utajiri alionao EL ni urithi toka kwa wazazi wake…ama…!!!!!!!!?
Kweli ujinga ni mzigo kuliko hata gunia la mawe…
 
Aanzishe chama basi, ili kiwepo chama cha matajiri. Maana kubaki CCM chama chenye alama ya Jembe na nyundo nae tunamuona mchimba chumvi tu
 
Kwahiyo lazima atakuwa na busha huyu!!

teh teh teh teh siunajua waitaliano wavyopenda maeneo ya fukweni kwahiyo inaweza kukuta tunaangaika na mtu ambaye ashaharibiwa.
 
We kiboko yaani unaona mpaka ndani ya mfuko wa suruali wa kila mwanaJF.
 
Ndo maana hii nchi haiendelei, watu tumejaa wivu tuuu! Kila siku Lowasa Lowasa, utafikiri yeye ndo chanzo cha umaskini wao, wazazi wenu walikuwa maskini kabla hata Lowasa hajawa Waziri!!
 
Kwani matajiri wote wamerithi? acheni mawazo ya Kijamaa kuwa utajiri ni kwa ajili ya wahindi! Amkeni mkasome kitabu cha Marehemu Njenga Karume waziri wa Kenya aliefariki wiki iliyopita Beyond Expectations: From Charcoal to Gold'.
 
naskia Lowassa hata usiku wa saa 9 ukimpa deal ya BUKU 10(10,000), anamwachia mkewe kitanda na kufatilia mchongo, duuh, sasa sisi mission town tufanye nini kama competitor wetu ni retired PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…