Maskini na chuki kwa Lowassa


raslimali ipi aliyoiba tatizo la watu waliopoteza matumaini huwa rahisi sana kuamini pindi wanapodanganywa
 
huhitaji degree kumtambua shoga!!!! hongera el umepata kifaa!!!!
 
Mtu anapopata hela ya wizi utamjua kwa majigambo ,matusi na dharau,wakati Yule anayeipata kwa jasho busara na hekima utaiona.
 
Akina Sitta na genge lao wamepanda mbegu mbaya sana ya chuki na uhasama. Kadri siku zinavyo songa mbele hata wananchi ambao wamepata utajiri kwa njia halali wataanza kuambiwa ni wezi na mafisadi! Tusipende kushabikia sera za chuki. Kilele cha hii chuki kitakapofika watu masikini hawatajiuliza mara mbili kama wewe umepata mali kwa njia halali ama la. Watajiuliza baada ya madhara makubwa kufanyika.
 

Hapo wewe hofu yako nini?
 
Amekutuma umtete wakati anavyotubia na richmond we ulikua wapi nae kama anafeza za kutosha mbona halali kisa urais na kamwe hatoupata.mafisad mwisho wenu 2015
 
Tuambie basi lowasa amefanya kazi gani kwa bidii iliyomtajirisha? ukiikosa ujue ameiba kwa bidii, mbona watu hawauchukii utajiri wa bakhressa? kwa sababu bidii imeonekana ndani ya utenda kazi wake.
 
Ingekuwa kila lowassa anapotajwa na mtu mmoja jf anaongezeka walau gramu kumi, Leonidas Gama, yule mkuu wa mkoa wa K'njaro angekuwa ashafunikwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…