Kiboko Yenu
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 311
- 66
nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto
leta a/c yako tujue wewe unashilingi ngapi! kujikomba kwa Lowasa na kutumwa ukamletee mademu ndio umejiona tajiri! wewe lazima ushampa lowasa mkeo!nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto
nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto
Lowassa amekuwa PM haifiki hata miaka 3. Amepiga deals zake kama ambavyo watangulizi wake walivyofanya. Kilichomsibu ni pale alipoamua kuwajibika, kumbe kizazi cha leo hatuhitaji watendaji kuwajibika. Hebu tuwatazame akina Nkapa, mama Nkapa, Sumaye, Msuya na mawaziri wa enzi hizo akina Mramba, Yona, Simba, Diallo etc. Kinachomsibu huyu ni kuwajibika kwake tu.Lowasa anahusika sana