Kaka utashuhudia maajabu in the near future.... He is not done.... Trust me....!!!Hahaha yeye alisema ni mkurugenzi mmiriki, iweje afukuzwe?! Kesho atakakuwa UHURU kuendeleza mapambano. Maana hana power ya kuita press tena.
Wengi naona wanasema hawezi kujifukuzisha kama kampuni ni yake, hapana!Hiyo CZ ni kampuni ya nani?? Uskute kajifukuza kutafuta kiki tu
Ukienda toilet kuna toilet paper, Ukimaliza unajifuta vizuri.
Kuna "Ndomu" Ukimaliza unatupa.
Dah , tusichoshane View attachment 969252
Hahaha najua kaka, kwanza waliomsimamisha wajiandae kufuatwa na TRA, polisi na uhamiaji.Kaka utashuhudia maajabu in the near future.... He is not done.... Trust me....!!!
Hahaha najua kaka, kwanza waliomsimamisha wajiandae kufuatwa na TRA, polisi na uhamiaji.
Hahaha yeye alisema ni mkurugenzi mmiriki, iweje afukuzwe?! Kesho atakuwa UHURU kuendeleza mapambano. Maana hana power ya kuita press tena.