tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
Jamanii moyoo , moyo Una macho nao, jamani moyooo, umemuona yeye......
Naimba tu
Naimba tu
Naomba kujua wewe hicho kiherehere hakijawah kukutokea?? Si kwa ubaya King'asti ni ka swali ka uzushi tu..
Kwahiyo ndio umeamua kuokoka..moyo si bado unao!?utakupoteza tena uangukie kwa wapendwa..
Nnavyojua kujishut up, moyo haunisumbui kabosaaa. Yaani naweza kujiachia nikaslide kiduchu, ukizingua kidogo tu naanza kusukuma damu kama kichaa. I go into euphoria state afu unaisoma namba ya kiatu.