Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Kheee
Mabwaku haya.
okay. Ushatoka Green City?
Mamndenyi ataendelea kuwa mama ako mdogo Marry Hunbig.....ila ndoa yetu imevunjika rasmi...wamjua Paloma weye?
Akhu,namlindia Chimbuvu tunda lake.
Mkuu mbona ndoa yangu umegoma kuitangaza?..au unataka rushwa...
Tangu juzi,now niko Meeda,jana nililala Kaunta.
Ohhh...
Mpenzi wangu na Mume wangu Kipenzi Chimbuvu umekwenda selo jamani!!
Asubuhi tumeagana vizuri kuwa unaenda kazini,kumbe ushapigana na watu huko na Umewekwa Selo ya BAN!!
Siamini masikio na macho yangu.
Huko uliko ujue nakupenda sana,na mwanao anakusalimu,ila ananyonya balaa.
Ni mimi Mkeo,
Madame B.
CC: Arushaone, Chilli, tedo na Chibolo.
Ina maana moderators hawaoni hao virusi wanaochafua hali ya hewa?
Wakati flani huwa nashawishika kufikiria kuwa Mods wanavizia watu wa kuwapiga ban kwa sababu kuna thread zinaanzishwa na Mods wanaona kabisa kuwa thread husika inalenga kukera watu flani wanaiacha hewani hadi wale waliokereka wachangie kwa jazba afu wawachape Ban then ndo wanaamua kuifunga thread
Paloma.....
Nakubaliana na wewe, hivi mkitaka mod atolewe/ afukuzwe kazi kama member kuna hatua gani za kufuata?
Tatizo hutajua ni mod yupi kakuchapa ban
Peleka nia yenu mbele ya kamati ya Screening ambayo iko chini ya Mamndenyi, The Boss na Ruhazwe JR , wao ndo wataleta ripoti kwangu for further actions
huoni kamati hii inashida mpaka hapo....sina imani na kamati hii mkuu...
Tatizo la kamati ni nini!?? funguka