Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
[color=#0090]Duh! Amelikoroga wap tena jaman? Ni humuhumu CC? Kama ni humu basi ishakuwa balaa.[/color]
Nadhani ni humu humu mkuu Nicas Mtei.
Maana nilimuona akimporomoshea MzunguMndali makombora kwenye ule uzi wa Madame B ulio futwa!
Hawa mamluki wanataka kupafanya chit chat iwe sio mahala salama ku stay, something must be done or else..., naandaa modality nitaileta kwenu

Mkuu mbona ndoa yangu umegoma kuitangaza?..au unataka rushwa...
Ohhh...
Mpenzi wangu na Mume wangu Kipenzi Chimbuvu umekwenda selo jamani!!
Asubuhi tumeagana vizuri kuwa unaenda kazini,kumbe ushapigana na watu huko na Umewekwa Selo ya BAN!!
Siamini masikio na macho yangu.
Huko uliko ujue nakupenda sana,na mwanao anakusalimu,ila ananyonya balaa.
Ni mimi Mkeo,
Madame B.
CC: Arushaone, Chilli, tedo na Chibolo.
Nani atakaimu nafasi ya Chimbuvu?

Nimekaimu hata wakati yupo uraiani...sasa ni muda wa mapinduzi rasmi..
Twende tukamuwekee dhamana.
Hao wote 4 waliobaki.