Namshauri James Mbatia amfuate "mentor" wake ktk siasa za Mageuzi, yaani Mabere Nyaucho Marando: Ajiunge na Chadema.
Kama haiwezekani kabla ya tarehe 31 Oktoba 2010, basi afanye hivyo baada ya Uchaguzi Mkuu. NCCR-Mageuzi haina jipya: Kwa sera na misimamo, wao ni Chadema tu, ila labda wafuasi wa Chadema na viongozi wake hawatokei Usalama wa Taifa.