Maskini Dokta Bujari, umejimaliza kwenda CHADEMA

Dk Bujari ambaye alikuwa ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi wa jimbo la Ngara 2015 kupitia CCM, hivi sasa amehamia CHADEMA eti kwa sababu CHADEMA Ngara hakuna watu wenye nguvu kama yeye, ameondoka CCM akiwahofia makada wa CCM kama akina Alex Gashaza na wengineo

Sasa katika kile kinachoonesha kwamba kwa sasa hawezi kupapasa tena, alichaguzliwa na Asasi za kiraia kuwa mjumbe wa Bunge la katiba, hata hivyo jina lake limekatwa hivyo sio mjumbe wa bunge hilo

Mbunge wa Ngara Bw Deo Ntukamazina alisema anasafiri kwenda Dar kuhakikisha jina la Dk Bujari linakatwa kwenye wajumbe wa Bunge la katiba, na kweli limekatwa

Kwa maana hiyo Mh Ntukamazina amemshinda Dk Bujari

Akili yako haina tofauti na MABUNU yako.
 
Ungeweza andika bila kuingiza mambo ya nasaba zenu. Mkijiona wote ni Wanangara na Watanzania mtapiga hatua ya maendeleo pamoja bila kubaguana.

Mabunu na wenzake wanasahau kuwa umoja ni nguvu ...

Naona tungane wana Ngaa tuwe kitu kimoja. Ukabila hautusaidii uishinda CCM. Makamanda wanaoendeleza vita Ngara kila siku, nawapa heko. Kennedy, Muha, Mashishanga, Viongozi wa kata zote za Nyakisa, Mrusagamba, Mgoma, Rusumo, Mganza, Bukiriro, Kabanga, Ntobeye, Mrukulazo, n.k
 
Watu wengine bwana. Professor Shivji kaachwa na Mtatiro kateuliwa mbona hili huliongelei?
 
Wewe vipi? Umetumwa na nani? Au kaktma mwigulu? Peleka ukuda wako ukapate chako
 
thread ya uchonganishi mkubwa kweli kweli. Kuna watu wana akili za viberiti, anawasha moto pwaaaa!!
 
Dk Bujari ambaye alikuwa ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi wa jimbo la Ngara 2015 kupitia CCM, hivi sasa amehamia CHADEMA eti kwa sababu CHADEMA Ngara hakuna watu wenye nguvu kama yeye, ameondoka CCM akiwahofia makada wa CCM kama akina Alex Gashaza na wengineo

Sasa katika kile kinachoonesha kwamba kwa sasa hawezi kupapasa tena, alichaguzliwa na Asasi za kiraia kuwa mjumbe wa Bunge la katiba, hata hivyo jina lake limekatwa hivyo sio mjumbe wa bunge hilo

Mbunge wa Ngara Bw Deo Ntukamazina alisema anasafiri kwenda Dar kuhakikisha jina la Dk Bujari linakatwa kwenye wajumbe wa Bunge la katiba, na kweli limekatwa

Kwa maana hiyo Mh Ntukamazina amemshinda Dk Bujari

wewe ni wa kuhurumiwa bure,naona mgorigori kama sio gwagwa imekulewesha hujielewi!!!!
 
Back
Top Bottom