Mabunu
Member
- Oct 17, 2012
- 33
- 13
- Thread starter
- #21
siasa ya Ngara naifahamu pengine mara 100 zaidi yako wewe, lakini nikiri tu kwamba hata iweje Ntukamazina hawezi kuwa mbunge wa Ngara mwaka 2015, lakini hata iweje Dk Bujali hawezi kuwa Mbunge wa Ngara mwaka 2015, asubiri tuu uchaguzi ufanyike tumuondoe huyo kibaraka wake Kennedy, aone atakavyopotea kwenye siasa za Ngara, tunafahamu mbinu zote alizozifanya mpaka kumuingiza huyo kibaraka wake Kennedy, kumnununlia piki piki na vitu kama hivyo, hatuwezi kukubali kuona tunamuamini mtu kirahisi hivyo wakati tunajua kabisa kuna Makamanda wamekitumikia chama tangu huyo Dk Bujali hajawaza kuingia kwenye siasa, sasa asubiri tu tumuondoe Kennedy waende wakaanzishe chama chao kanisani au wakiite HDT, ,,,,,,,,,,,,,, DK BUJALI usijidanganye, Ngara tunakuenjoy tuu, tunakujua vzuri, mtu mwenye dharau, unaejickia halafu tukupe uwe MP wetu?dah bado sana, kajipange upya