Maskini Dokta Bujari, umejimaliza kwenda CHADEMA

Maskini Dokta Bujari, umejimaliza kwenda CHADEMA

Mabunu

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
33
Reaction score
13
Dk Bujari ambaye alikuwa ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi wa jimbo la Ngara 2015 kupitia CCM, hivi sasa amehamia CHADEMA eti kwa sababu CHADEMA Ngara hakuna watu wenye nguvu kama yeye, ameondoka CCM akiwahofia makada wa CCM kama akina Alex Gashaza na wengineo

Sasa katika kile kinachoonesha kwamba kwa sasa hawezi kupapasa tena, alichaguzliwa na Asasi za kiraia kuwa mjumbe wa Bunge la katiba, hata hivyo jina lake limekatwa hivyo sio mjumbe wa bunge hilo

Mbunge wa Ngara Bw Deo Ntukamazina alisema anasafiri kwenda Dar kuhakikisha jina la Dk Bujari linakatwa kwenye wajumbe wa Bunge la katiba, na kweli limekatwa

Kwa maana hiyo Mh Ntukamazina amemshinda Dk Bujari
 
Wewe kweli haujielewi kwa hiyo walioteuliwa kuwa Wabunge wa Bunge la Katiba ndio wabunge wako wa 2015? hayo majina yameteuliwa na DHAIFU na kilichofanyika ni kuwaweka watu wengi walio DHAIFU ili mwisho wa siku tupate katiba DHAIFU na lengo ni kukisaidia chama DHAIFU kuendelea kuongoza serikali DHAIFU.
**Tambua 2015 kama Dr. Bujari atateuliwa na CDM kugombea nafasi ya Ubunge watakaopiga Kura sio Kikwete na huyo Mbunge wako bali ni wananchi wa jimbo husika**
 
Nonsense! Do you own research before appearing to the public, how sure you are that his name has omitted because of political issue?
 
Mkuu inawezekana we ni mgeni wa siasa za ngara zilizo jaa u hutu na ututsi..ipo siku ntakuja kuwaletea kissa cha kiongozi fulani wa chama fulan tena kiongozi mkubwa tu wa chama hicho aliye punguza kasi ya campaign zake za ubunge kisa mtutsi mwenzie wa ccm kalazwa india..
 
Hakika huyu jamaa kajimaliza maana hapa ngara wana chadema hatumtaki na tayali tunayo majembe yetu siku nyingi yey3 ana nini kwanza mnafiki anafanyia kampeni kanisani.
 
nimejikuta sina hamu ya kua humu jf,yani mtu anamtukana mbunge wa arusha mjini,mi namjibu tena kistaarabu mod wanaamua tu kuniban bila kosa,inamaana hili jamvi ni la wanao tukana viongozi wa chadema....!
 
mbona KINGUNGE ameteuliwa Amemshinda nani , au ANA NGUVU GANI ?
 
Wanaogopa kujiunga CHADEMA kwa kua wao si raia wakihama CCM tu imekula kwao
 
Aisee kumbe hata Wajumbe wa Bunge la Katiba mmechakachua..aisee nyie maccm ni balaa..
Kwa kuchakachua hamjambo..
 
Nawapongeza wabunge wa upinzani kwa ujasiri na uzalendo wao katika kupinga sheria iliyomruhusu jk kuteua wabunge wa bunge la katiba! Hilo alilofanyiwa dr. BUJARI ni moja ya sababu za wabunge wa upinzani kupinga sheria hiyo!
 
Mkuu inawezekana we ni mgeni wa siasa za ngara zilizo jaa u hutu na ututsi..ipo siku ntakuja kuwaletea kissa cha kiongozi fulani wa chama fulan tena kiongozi mkubwa tu wa chama hicho aliye punguza kasi ya campaign zake za ubunge kisa mtutsi mwenzie wa ccm kalazwa india..

Ungeweza andika bila kuingiza mambo ya nasaba zenu. Mkijiona wote ni Wanangara na Watanzania mtapiga hatua ya maendeleo pamoja bila kubaguana.
 
Dk Bujari ambaye alikuwa ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi wa jimbo la Ngara 2015 kupitia CCM, hivi sasa amehamia CHADEMA eti kwa sababu CHADEMA Ngara hakuna watu wenye nguvu kama yeye, ameondoka CCM akiwahofia makada wa CCM kama akina Alex Gashaza na wengineo

Sasa katika kile kinachoonesha kwamba kwa sasa hawezi kupapasa tena, alichaguzliwa na Asasi za kiraia kuwa mjumbe wa Bunge la katiba, hata hivyo jina lake limekatwa hivyo sio mjumbe wa bunge hilo

Mbunge wa Ngara Bw Deo Ntukamazina alisema anasafiri kwenda Dar kuhakikisha jina la Dk Bujari linakatwa kwenye wajumbe wa Bunge la katiba, na kweli limekatwa

Kwa maana hiyo Mh Ntukamazina amemshinda Dk Bujari

Kwa hiyo Ntukamazina alikwenda kwa akina Ombeni Sefue kuwaomba waondoe jina la mshindani wake ktk uchaguzi mkuu ujao? Huyu mzee bado anataka kuendelea na Ubunge licha ya afya yake mbovu?!
 
Mleta uzi utakuwa humfahamu dk.bujari vizuri. Na hata ngara ya leo hujai fanyia tafiti .

Unatakiwa ujue kuwa ubunge wa ngara 2015 ni wa dk.bujari,

pia elewa kuwa bunge la katiba ni la watanzania wote na siyo la bujari au ntukamazina.na dk.bujari hakuwa anataka awemo kwa ajili ya maslahi yake bali ilikuwa ni kwaajili ya watanzania wote .

Pili kama kweli ntukamazina amefanya hivyo hiyo ni triki ya kujimaliza mwenyewe kisiasa kwani itabidi wananchi wa ngara waelezwe mbinu chafu alizozifanya mbunge wao dhidi ya kipenzi chao dk.bujari.

Pia maelezo yako ni ya kiji.nga sana kwani unatudhihirishia kuwa huu mchakato umetawaliwa na mfumo mbaya wa rushwa za kiudugu na mijuano kivyama,kwa hiyo unatupatia sababu ya kuwa eleza watanzania jinsi mkulu wao wa magogoni jei kei alivyo dhaifu na muozo kwa kukubali kushauriwa na watu waajabu kama ntuk. Mazina wenye asili ya kinyarwanda.

"ushauri"
kwakuwa nguvu ya dk.peter bujali ni kubwa kwa ngara mwambie ntukamazina ajiandae kukabidhi ofisi mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom