Maskini CHADEMA, Hiyo Ndiyo Siasa

Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

you are dully witted!
 
Hofu ya ccm kwa chadema, jamaa hawana raha, wana hofu asubuhi, jioni na ucku, hawalali wanahofu, muda mwingi wanaliona jinamizi la chadema mbele yao, wakikumbuka wizi na ujangili walioutenda wanaingiwa na hofu! Hofu hii itamng'oa kinana kama ilivyong'oa makamba na mukama, itamng'oa nape na mwigulu kama wengine waliotangulia, lakini loh! Maskini, hofu hii haitawaokoa kwa hakika hawatapona, maana kwa hakika ccm inakufa na haitoinuka tena..
 
baada ya kuwa msomaji hapa kwa muda mrefu sasa naomba rasmi kuwa mchangiaji ndugu WaTz wenzangu...
 
Mkuu naona unataka kunione bure uliyetutoa nje ya mada husika ni wewe

Chama
mapumzikoni Monga Vyeru

Nilikutoa nje ya mada na wewe ukakubali kutoka nje ya mada so wote tulikuwa nje ya mada ndio maana nikasema Tusiharibu thread ya mwenzetu.
 
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

mmmhhhh!!!!??? Huu mwaka 2105?? hakuna atakayekuwepo wa kizazi hiki. na kama unafikiri ndo mpango wa CDM kuingia madarakani mwaka huo. Usiombe wakusikie hao jamaa... utajuta kuandika hapa
 
dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa cdm ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

ni upuuzi mtupu
 
Haya maneno tangu 2005 mpaka leo mnaongea tuu ukanda na udini, kawaambie waliokutuma kuwa watu wengi sasa wanajielewa kwa hiyo kabadilisheni slogan yenu
 
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105
Ukana? Huu msamiati wako mpya una maana gani?
 
Gambazzz kazini wachache tu lakini duh !!! wanamidomo hao utazani ya bata michafffffffff!!!!!!!!
 
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

Ukiskia ndoto za alinacha ndo hzo unazoota wewe na wasira wako na ccm wenzenu!
 
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105
hamuwezi kuiua CDM with this poor techniques - NEVER
 
Mtahangaika sana
mtakurupuka sana
mtatunga sana
mtahenyeka sana
mtaweweseka sana,
mtalia sanaaaaaaaaaaaaa
mtataabika sana,
mtahonga sanaaaa tena sana mpaka mfilisike,
mtahongwa sana,
mtatabiri sana
mtatumiwa sana,
mtaimba sana huu wimbo kuhusu chadema,

lakini CHAMA DUME TANZANIA-"CHADEMA" KITABAKI STAND BY MILELE.

vijana "hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..."
 
kwa hiyo wewe unatoa perfume? Mbona uhaaaaro
Mkuu ndio kwanza naingia jamvini baada ya kula ban ya nguvu; usilianzishe maneno machafu hapa sitafuti kamusi!

Chama
Monga vyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom