Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,547
Jaribu kuelewa kilichoandikwa kabla ya kutoa povu
Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
Naangalia anayetoa povu kati yenu ni nani!??
Jaribu kuelewa kilichoandikwa kabla ya kutoa povu
Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
kipindi Mandela akipigania uhuru v8 zilikuwepo? Dunia imebadilika mkuu usijaribu kucompare time frame za nyakati zile na hizi. Mfano unataka kwavile Mandela alikuwa anafuga Afro kipindi kile na slaa afuge?
Naangalia anayetoa povu kati yenu ni nani!??
Kuanguka kwa Chadema ni hitimisho tu; hao wanaojiita viongozi wapo kutetea maslahi yao kimaisha; chama hakipo kutetea watanzania kama wanavyojinadi; Mandela kuna wakati alipewa deal na serikali ya makaburu ya kuachiwa huru na kupewa maisha mazuri ili mradi tu asijihusishe na harakati za ukombozi; hao wapigania ukombozi wenu akina Slaa leo wanapigania maisha yao utapigania ukombozi ukiwa ndani ya V8 na kiyoyozi ndani? kama si kutaka kudanganya watu ni kitu gani?
Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.
Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

Makamanda naona wanaelekea pabaya. Kule UK wamemfukuza Lukos kisa kufanya biashara na Serikal. Kule Mwanza Bivicha wanamtaka Dr Slaa aachie ngaz kama atagoma wataiitisha maandamano nch nzima.
Makamanda naona wanaelekea pabaya. Kule UK wamemfukuza Lukosi kisa kufanya biashara na Serikali. Kule Mwanza Bivicha wanamtaka Dr Slaa aachie ngazi kama atagoma wataiitisha maandamano nchi nzima.
Tuko pamoja mkuu chama anasa zilikuwepo hata kipindi cha Mudi. Jamaa alikuwa anapenda totoz balaa!Mkuu Precise pangolin
Acha kupindua maneno kwa kuogopa ukweli umeelewa namaanisha kitu gani; anasa zilianza zama za kale hata kumiliki punda wakati Yesu ilikuwa ni anasa!
Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
Kisichoeleweka kwenye up.u.pu uliouweka ni kipi? You guys are hopelessly deluded if you think an average Tanzanian of today will believe your version of story for them to decide! But keep on dreaming that the status quo will prevail!
Hivi mwenzetu una uhakika kuwa utakuwepo hadi kufikia huo mwaka uliouandika hapo juu?Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105
Tuko pamoja mkuu chama anasa zilikuwepo hata kipindi cha Mudi. Jamaa alikuwa anapenda totoz balaa!
Makamanda naona wanaelekea pabaya. Kule UK wamemfukuza Lukosi kisa kufanya biashara na Serikali. Kule Mwanza Bivicha wanamtaka Dr Slaa aachie ngazi kama atagoma wataiitisha maandamano nchi nzima.
Kama kawaida yenu mpo kuspinn ukweli maneno yamekuingia; sihitaji kujiingiza kwenye malumbano ya kidini ila nimefurahi ujembe umeupata.
Chama
Gongo la mboto DSM
mapumzikoni Monga Vyeru
Mkuu wangu chama karibu tena jamvini manake naona ulifungwa gavana kwa muda
Ujembe ndio nini mkuu?
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Mkuu unanivunja mbavuTuko pamoja mkuu chama anasa zilikuwepo hata kipindi cha Mudi. Jamaa alikuwa anapenda totoz balaa!