Maskini CHADEMA, Hiyo Ndiyo Siasa

Oneni matokeo ya utapia mlo wa ubongo wa huyu kiumbe!

Narudia tena Bavicha Mwanza wamemtaka Dr Slaa aachie ngazi ndani ya chama ni pandiki la CCM. Kama atakataa basi Bavicha hawana njia nyingine zaidi ya kuitisha maandamano nchi nzima...nadhani umenipata.
 
Tatizo ukisoma Bible unachagua mistari ya kusoma; mingine haikurahishi ndio sababu unaikimbia

Chama
Gongo la mboto DSM
Mapumzikoni Monga Vyeru

Tusiharibu thread ya MAFILILI mkuu turudi kwenye topic
 
Last edited by a moderator:
Narudia tena Bavicha Mwanza wamemtaka Dr Slaa aachie ngazi ndani ya chama ni pandiki la CCM. Kama atakataa basi Bavicha hawana njia nyingine zaidi ya kuitisha maandamano nchi nzima...nadhani umenipata.

Teh teh teh..... mwaka huu mtapasuka magamba! Gharama yote ya nini kununua watu? Si mtulie mtekeleze ilani yenu?
 
Teh teh teh..... mwaka huu mtapasuka magamba! Gharama yote ya nini kununua watu? Si mtulie mtekeleze ilani yenu?

Mkuu ilani gani tena wakati hilo ni tamko la Bavicha Mwanza.
 
Kitengo cha propaganda mitandaoni naona sasa hivi kimekuja juu!
 
hakifiki 2105 sawa lakini 2015 kita waondoa madarakani..
 
 
Kamanda utapata shindikizo la damu bure kumfuatilia Ritz, kila anachoandika.

Gamba! we huwa unaonekana kwenye hoja za hivi tu..zipo - na cdm. je, huwa unahusika kuzitoa?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio mvivu wa kusoma humu JF mie naandika majukwaa mengi.

Sawa! ila na wewe unahusika kwenye hizi propaganda za kuiweka ccm safi? na kukichafua chadema? je, we ni mwanachama hai wa ccm?
 
sasa na wewe hizi ni propaganda ambazo ndani yake hapaonekani fact hata moja! Propaganga ni zile habari za kuundwa tu ambazo ndani yake hamna hoja.propaganda zitabakia kwa propaganda tu bila kujali anaezitoa ni ccm chadema au ni nani!.propaganda za namna hii ni sehemu ya siasa chafu bila kujali anaezifanya.nashauri tujenge hoja badala ya kuleta ushabiki
 

Aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea.
 

eeh! Hamlali kisa CHADEMA! Post ya saa tisa! Mwanga wewe, si bure.
 

hizo mbinu haziwezi kuwork throughout, watu wengi wameshazitambua. zilifanikiwa mwaka 2000, 2005, 2010 watu walishashtuka mkalazimisha, mkaapishana. yaani manavyoongea hivyo ni sawasawa na mtu anayejificha mahali pa wazi anaonekana bila shida. labda mbuni njia nyingine zaidi, poleni lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…