Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Hivi hawa Airtel mbona wezi sana? Leo nimeweka vocha ya Tsh 2000 nikajua nitaongea dk 5 au zaidi na m2 ambaye yupo Marikani coz kiwango ni tshs 5.16 per Sec,lakin nilipopiga 2 ilikatika yote baada ya dk 1:35.. Naomba mniambie ni2mie mtandao gani ambao una gharama nafuu kupiga cm za nje.