maskini Asprin

maskini Asprin

wanawake wa humu mi siwaelewi kabisa,yaani pepo la ngono litawamaliza.
muone alivyo mpana ka wingu!! chiboko yako mwanamke wa tra, ulikuja hapa unaongea ndimi juu! Kongosho unakumbuka tulivyomkuta anahaha baada ya kufanyiwa mbaya na watoto wa town eee??
 
Last edited by a moderator:
Nakukabizi kibali na fotokopi yake mkuu. Bishanga kaniahidi ataleta ushahidi wa hiki akisemacho na kukisimamia.

Kazi itabakia kwako kwa utekelezaji ukiona yabidi.
we sikiliza tu maneno ya huyo Bishanga! kwanza yule mod secret admirer wangu, cjui yuko wapi a-do the needful kwa Bishanga!
 
Last edited by a moderator:
Bepari hujambo??
Asprin anapendwa kama mambumunda na watoto
 
Hivi wanawake ws siku hizi wana nini maana wanazini sana nje ya ndoa
 
Bibi na Babu wakigombana nyumbani waache wenyewe wataelewana....pigeni mboyoyo tu nyie wakipatana mtasutwa hasa wewe Bishanga. Nimemaliza!
 
Last edited by a moderator:
Bepari hujambo??
Asprin anapendwa kama mambumunda na watoto
bepari mbeyaaaaa!! anapenda kushadadia ya watu! Bishanga nmekununulia dera, nitaliacha FINCA branch ya manzese, muulizie dada mmoja anaitwa mwantumu, yupo reception atakupatia!
 
Last edited by a moderator:
Nimekutana naye muda si mrefu anatokea Amana hospital kupima presha,kanambia usiku kucha hajala la. cacico of all the people kwani nini baba wa watu umemuacha solemba kisa papaa Bujibuji,unababaishwa na hivyo vijisenti? Hivi hujui Bujibuji ni chenchi dola pale samora? We kuona ameimbwa na ngwasuma 'wapi papaa bujibuji young millionea' ukaona umepata bwana wa maana?Sasa watoto umemuachia asprin alee mwenyewe?Usiache mbachao mama kwa msala upitao,huyo Bujibuji ni embe tu tunda la msimu,mpango mzima ni Asprin pamoja na uzee wake,mmetoka mbali!Nasikia ushungu wallah!

bishana baibe whats up bro!..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kosa alilofanya Baba V ni kutounda kamati ya Maombi................ ndo maana niliona kama ameshindwa basi aunde kamati ya kuvunja ndoa za watu

Mungi sio kweli kuwa hakuna kamati ya maombi,hebu search ile thread utawakuta mle Kaizer na Pombekali ,tena juzi kati hapa nakumbuka Pombekali alishuka hapa na uzi wa maombi juu ya mahusiano hapa chit chat
 
Last edited by a moderator:
huyo aliyeanzisha uzi yuko wapi?? mbona mitini tena??
 
good-day76.gif

Back
Top Bottom