maskini Asprin

maskini Asprin

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Nimekutana naye muda si mrefu anatokea Amana hospital kupima presha,kanambia usiku kucha hajala la. cacico of all the people kwani nini baba wa watu umemuacha solemba kisa papaa Bujibuji,unababaishwa na hivyo vijisenti? Hivi hujui Bujibuji ni chenchi dola pale samora? We kuona ameimbwa na ngwasuma 'wapi papaa bujibuji young millionea' ukaona umepata bwana wa maana?Sasa watoto umemuachia asprin alee mwenyewe?Usiache mbachao mama kwa msala upitao,huyo Bujibuji ni embe tu tunda la msimu,mpango mzima ni Asprin pamoja na uzee wake,mmetoka mbali!Nasikia ushungu wallah!
 
Last edited by a moderator:
Huyu pepo ameingia kwa kasi kujaribu kuvunja au kuvunja kabisa mahusiano ya CC!
Kikundi cha wanamaombi karibuni sana!!
 
Mbona cacico asubuhi hii mwenyewe kanywea?
It was just a night stand. Halafu cacico mwenyewe mshamba ameyaogopa maisha yangu ya kifahari kama Aladeen wa kwenye movie ya the Dictator
MV5BMjA4NjEyOTc4NV5BMl5BanBnXkFtZTcwODYzMjk2Nw@@._V1._SY317_.jpg
 
unaharibu mariaji za watu kisha unakuwa jeuri eh?
Mimi na mwenzangu cacico tukaona si vyema kukaumiza ka kikongwe ka watu,
Tukaamua rasmi tulikatishe lile penzi letu motomoto.
Sio kwamba tuliogopa kugandana hapana, ni kwa upendo tu tukasema Asprin anahitaji kuishi, bila wewe cacico hawezi kuishi.
Hapo sasa ndipo cacico alipofanya jitihada za ziada na kuniacha kwa mdada wa Kizayoni Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:
mgeni akifika tu hapa swali la kwanza huwa, wewe ni ME au KE?
 
Huyu pepo ameingia kwa kasi kujaribu kuvunja au kuvunja kabisa mahusiano ya CC!
Kikundi cha wanamaombi karibuni sana!!

Kosa alilofanya Baba V ni kutounda kamati ya Maombi................ ndo maana niliona kama ameshindwa basi aunde kamati ya kuvunja ndoa za watu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom