maskini Asprin

maskini Asprin

Mimi na mwenzangu cacico tukaona si vyema kukaumiza ka kikongwe ka watu,
Tukaamua rasmi tulikatishe lile penzi letu motomoto.
Sio kwamba tuliogopa kugandana hapana, ni kwa upendo tu tukasema Asprin anahitaji kuishi, bila wewe cacico hawezi kuishi.
Hapo sasa ndipo cacico alipofanya jitihada za ziada na kuniacha kwa mdada wa Kizayoni Zion Daughter
kosa la kuzini nje ya ndoa katu halina msamaha,mwenyewe ushakiri one night stand na cacico,asprin tupa kurrreeee huyu mwanamke aisee.
na Zion Daughter ndo kaona amepata mwanaume wa maana?
 
Last edited by a moderator:
Kosa alilofanya Baba V ni kutounda kamati ya Maombi................ ndo maana niliona kama ameshindwa basi aunde kamati ya kuvunja ndoa za watu

wanawake wa humu mi siwaelewi kabisa,yaani pepo la ngono litawamaliza.
 
Imeandikwa usizini, lakini mimi nawaambieni hata ukimtamani mwanamke asiye wako, umeshazini naye tayari.

Tena nawaambieni, mke haachwi ila kwa zinaa.

Nimesikikitika sana, nimehuzunika sana lakini hata hivyo tulishinda pamoja, tumefedheheka pamoja lakini pia tutafurahi pamoja.

Hii mwanaume naye anakaaga eda? Hili pengo ikilazimu lapaswa kuzibwa mara moja. Mke wa ujana wangu BADILI TABIA naomba kibali na mwongozo wako.
 
Last edited by a moderator:
keshagundua ameharibu big time,unaacha mwanaume wa maana kisa muuza madini ya kimagumash?

Si umeona mkuu mwenzangu Bishanga. Nimeamini kale ka msemo kila king'aacho si dhahabu na ajidhaniaye kasimama aangalie asije akaanguka.

Ntahitaji kikao na wakongwe wenzangu Dark City Mtambuzi na Kaizer kuujadili huu mustakabali. Hakikisha unawaalika vijana wetu Nicas Mtei Filipo na Arushaone wapate uzoefu ili yakiwakuta wasinywe sumu.
 
Last edited by a moderator:
Si umeona mkuu mwenzangu Bishanga. Nimeamini kale ka msemo kila king'aacho si dhahabu na ajidhaniaye kasimama aangalie asije akaanguka.

Ntahitaji kikao na wakongwe wenzangu Dark City Mtambuzi na Kaizer kuujadili huu mustakabali. Hakikisha unawaalika vijana wetu Nicas Mtei Filipo na Arushaone wapate uzoefu ili yakiwakuta wasinywe sumu.

Nakala ya kikao usikose kuniminute kwa taarifa na utekelezaji zaidi, nataka tumshungulikie Bishanga aiseeeee.
 
Last edited by a moderator:
Zindunaaaaaaa kuna mtu naona ananikosea heshima na adabu juu!! hivi @Bishnaga mbona uegeuka paka shume kutwa uko vyunguni kunusanusa??? hebu niache na wangu mwandani nijilie vyangu kwa ufasaha na nafasi!
Asprin hubby wangu dont listen to this papa mukulo!! achana naye kabisaaaaa, Zion Daughter jus do as i have requested, the rest semeni AMEN, na sredi iwe klozd!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ingekuwa heri leo usikie kilio changu cha kumwajibisha Bishanga usifanye mgumu moyo wako
shoga angu kazi ulikuwa nayo! mwanaume ana ulimi mrefu ka joka la CCM! Bishanga umbeya hauna posho! watu wakirudiana utapata aibu mpaka kikojoleo chako kitainama MILELE kwa haya! shaurilo!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom