Masingo maza ni wazuri mno

Masingo maza ni wazuri mno

Single Mothers wana mengi mazuri; inaweka kuwa sio wote ila wengi wao

1. Umakini wa maisha - Yaani wapo very positive na cautious; kuliko hawa mbwea ambao bado wanalingia matako na sura.

2. Utulivu- ni watu wa kusikiliza bila kuwa na mihemko; yaani hata kama ni mjadala basi mnajadiliana kwa uzuri kabisa; anajenga hoja na kuhitaji ufafanuzi; kuliko hawa tumbili ambao hawana utulivu kabisa.

3. Wanaheshimu mahusiano - hawa wana uaminifu sana kwenye mahusiano na wanaheshimu mahusiano kuliko hawa mijusi wengine; wana mabwana zaidi ya 6 ila wamejaa uongo tu .

4. Wanathamini masuala ya kifamilia; nadhani kwa kuwa wanakuwa na mtoto/ watoto wanaanza kuelewa mambo muhimu katika maisha; sio watu wa kutaka kushinda bar na kunywa bia kila siku; lakini hwa digidigi kila siku anataka apate mtu wa kumtoa kumpeleka bar;

Single mothers; mna mengi mazuri na tumeamua kuwatambua kwa mazuri yenu kuanzia leo hawa nzige wanaokimbia kuzaa kwa kutoa mimba wasiwafanye mkose furaha;nyinyi ni akina mama na pia ni wanawake kamili kabisa.
MashAllah!!

Dinner yako ya leo juu yangu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nani mbwa sasa?? Afu sikia hao wasiojielewa wanaotembea na waume za watu usi force wafanane mitazamo na wewe kila mtu anaishi kwa mahesabu,nafasi, mitazamo na maamuzi yake

Waume za watu waume za watu kwani sisi majini??

Afu nani kasema kuwa wanatutumia hamna kutumika ni mahusiano tu na tunaridhia kuwa nao katika mahusiano so haijalishi ni mume wa mtu au laa kikubwa ni mimi na maamuzi yangu na risks nilizojipimia at the end ndo tutajua sasa kama penzi litafika mwisho, nitakua mchepuko forever au nitakua mke mwenza wa halali

Afu nani kasema kuwa ukiwa na familia huruhusiwi kuwa na hisia au kupenda wengine??, kikubwa heshima tu na ndo mana tukishajimbia kwenye hilo shimo option inayobaki ni kuheshimu hao wake zao

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Wapuuz mbwa wakubwa..,mi hata niwe na rafiki angu nikijua tu anatembea na mume wa mtu basi urafiki unapungua sana.
Kwann ujidhalilishe? Wanawachora tuu na ambavyo wanakuaga wepesi kumkubali kila mtu. Hoples
 
Nafikiri akili yako haiko sawa.Ebu acha huo ujinga mara moja maisha hayaendi kwa izo principles zako (kwenye mahusiano ya mapenzi ukiwa jinsia ke unatakiwa umuombe tu mungu akuepushe na baadhi ya mambo kama ulivyo ukweli kwamba wewe huwezi kupanga utaolewa lini ila sisi wanaume tunaweza kupanga tutaoa lini)
 
Jf bana

Leo single mothers wanasifiwa kesho wanapigwa mawe kiroho mbaya..na watu wanaenda tu na upepo wa thread utakavyokuwa.
 
Unatetea wanaokupa papuchi burepole, ila ndo ukweli nadharau sana mwanamke anaeliwa na mume wa mtu.
Juzujuz best angu niliepunguzaga ubest akawa good friend tuu ameachana na uyo m.baba mwenye familia yake, sasa ivi ameconcetrate na kijana mwenzie wanayajenga maisha.
Acheni kuwajaza ujinga hao masingomama, kama mnawapenda muwaweke nyumba ndogo inayofahamika na familia sio kuwapa mashart kibao.
Mwanamke unafichwafichwa kama chupi chafu!!!!!!
 
Jf bana

Leo single mothers wanasifiwa kesho wanapigwa mawe kiroho mbaya..na watu wanaenda tu na upepo wa thread utakavyokuwa.
Ukwemi ni kwamba singomama wanaogopwa sana na wanaume...na ni wachache sana wataokoka kwenye ilo janga.
Ukioa singomama ukubali kushare wegi hawawezi kulea wenyewe wanaishia kuliwa ili wapate matunzo mbaya zaidi matunzo hafifu.
 
Wapuuz mbwa wakubwa..,mi hata niwe na rafiki angu nikijua tu anatembea na mume wa mtu basi urafiki unapungua sana.
Kwann ujidhalilishe? Wanawachora tuu na ambavyo wanakuaga wepesi kumkubali kila mtu. Hoples
Wewe mbwa mwenzetu usitupangie maisha

Shida mechi zako tushinde mechi zetu

Peleka taratibu zako kwa kizazi chako uko

Then usitufokee ovyo ovyo

Watuchore watuandike hio ni juu yao

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri akili yako haiko sawa.Ebu acha huo ujinga mara moja maisha hayaendi kwa izo principles zako (kwenye mahusiano ya mapenzi ukiwa jinsia ke unatakiwa umuombe tu mungu akuepushe na baadhi ya mambo kama ulivyo ukweli kwamba wewe huwezi kupanga utaolewa lini ila sisi wanaume tunaweza kupanga tutaoa lini)
Yani ana force tuishi kwa taratibu zake

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ukwemi ni kwamba singomama wanaogopwa sana na wanaume...na ni wachache sana wataokoka kwenye ilo janga.
Ukioa singomama ukubali kushare wegi hawawezi kulea wenyewe wanaishia kuliwa ili wapate matunzo mbaya zaidi matunzo hafifu.
Tunalijua hilo kama tunaogopwa na walishasema kuwa hawatuoi na tukakubaliana na hilo

So usirudie rudie unapiga kelele

Afu kama vile wanaogongwa ovyo ni single mama tu ,nyie msio single mama hamgongwi ovyo au sio yani shida ni sisi tu kisa tuna watoto wa kulea wenyewe basi tunakazwa ovyo ovyo

Nyie hamgongwi ovyo mkitaka hela ya saloon, kodi,gas, umeme, kucha

Single mama kugongwa ovyo either na mzazi mwenzake au wanaume wengine hio ni maamuzi ya mtu na makubaliano yake na matarajio yake ko msilazimishe kuwa ni single mama wote khaaaaaaaaa

Point
 
Mtoa mada; huwa siwaitii na situmii jina la ''single mothers'' kwa sababu ya stigma ya hilo jina.

Turudi kwenye mada;

Uliyoyaeleza kuhusu hao watu ni kweli kabisa.

Wanajua sana kujali; wapo tayari kushiriki katika tatizo lako liwe la kifedha au la kijamii kuliko hawa nguchiro ambao hata ukiwambia kuwa umefiwa au unauguza wanaishia kukupa pole ya maneno matupu huku akikukumbusha kodi ya miezi mitatu.

Ukija kwenye mambo yetu yale hawa hawana choyo kabisa na wala hawakupi mzigo kwa kipimo. Yaani mkikutana anakuachia yote tena kwa mahaba ya kutosha. Kuliko hawa ngedere ambao kwanza hawana usafi zaidi ya usoni na waachojua ni kulala kama mataruma ya reli.

Kingine huwa wasafi sana; wanajali sana miili yao tena haswa hawa wa CORPORATE; wenye kazi zao na biashara zao za maana hapa mjini. Hawa kenge wengine wanachojua ni kufuga mikucha mirefu na kusafisha uso tu, hawana muda na miili yao. Hawajui hata kutawaza.

Kwenye kusaidia mashemeji na wifi zao ndio hatari zaidi; yaani ukisema tu mdogo wangu Suzy amemaliza UDSM na hajapata kazi na kama ana nafasi ofisini kwake au ana connection lazima atafanya juu chini ili wifi yake apate kazi. Hawa fisi wengine wenyewe hawana kazi wala biashara wanakutegemea kwa kila kitu.

Kwenye kupika; hapa wengi wapo vizuri; yaani akikualika kwake jua utakula chakula kilichopikwa vizuri tena wanajali sana kuhusu balance diet; yaani utakula vizuri na kunywa juisi ya kiwango; huku ukipewa bites na vitafunwa vingine, hawa digidigi wao kula ni chipsi kuku au chipsi yao; hawajui kupika wala kupanga nyumba.

Ukimkuta yupo matured zaidi; yaani atahakikisha hata kama una mke basi uwe na amani na mkeo;hawana usumbufu wa kijinga; wao mkiwasiliana na kusalimiana basi roho yake imeridhika kabisa hawana usumbufu kuliko hawa nguchiro wengine wanaowaza ndoa na kumiliki mwanaume.

Kwenye busara ya matumizi wapo vizuri sana; kama ni kutumia basi walau anachangia gharama na anashauri mahali pa kwenda kulingana na mfuko. Anaweza kukwambia muende Bagamoyo lakini akakwambia gharama za hoteli ni juu yake; hawa panya wengine anakuja na mkoba hauna hata mia; amebeba tissue na mafuta ya kujipaka tu huku akiwa amepania kuja kulewa.

Wengi wanajali sana kuhusu watoto wako; lazima atauliza wanazoma wapi na maendeleo yao ya shule; kuliko hawa kobe wanaotaka simu mpya tu bila kujali majukumu yako mengine. Hawa popo wao ni kuuliza kuhusu hela na zawadi tu; hana time na maisha yako na familia yako.

Kwenye uwekezaji; hawa huwa hata wanakupa taarifa kuhusu viwanja na biashara ili uongeze kipato; kuliko hawa fisi wengine ambao wao wanataka kutumia tu bila kujua uchungu wa kutafuta pesa. Hawa hata unaweza kuwa nao kama business partner; kuliko hawa viboko wao hawana wanachojua kuhusu masuala ya finance wao ni instagram na tiktok tu.

Mwisho kabisa hawa singo mother unaweza hata ukakaa nao mkajadili mambo ya maana; lakini hawa vishikwambi wengine wao ni umbea na mambo yasio na maana katika maisha.

Single mothers wenye akili nawapenda sana na mpo kwenye maombi yangu.
🤣🤣🤣 mkuu una hasira sana
 
When desparate person meet incompetency....

Wewe domo zege, yeye ana njaa ya attention....

Hilo sio fungu letu...
"When desparate person meet incompetency"

maneno machache yenye uzito...dah
 
Tunalijua hilo kama tunaogopwa na walishasema kuwa hawatuoi na tukakubaliana na hilo

So usirudie rudie unapiga kelele

Afu kama vile wanaogongwa ovyo ni single mama tu ,nyie msio single mama hamgongwi ovyo au sio yani shida ni sisi tu kisa tuna watoto wa kulea wenyewe basi tunakazwa ovyo ovyo

Nyie hamgongwi ovyo mkitaka hela ya saloon, kodi,gas, umeme, kucha

Single mama kugongwa ovyo either na mzazi mwenzake au wanaume wengine hio ni maamuzi ya mtu na makubaliano yake na matarajio yake ko msilazimishe kuwa ni single mama wote khaaaaaaaaa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nawakumbusha tuu kua nyie bado ni wa thamani, kusifiwa eti hamsumbui hata mtembee na mume wa mtu looh!!
Nami nawapongeza mko vzuri sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom