Masingo maza ni wazuri mno

Masingo maza ni wazuri mno

hat off! hands off! watu na tafiti zao
Ng'wanamangilingili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii id bhana
 
One man down. Anyway leo ma single mother mmesifiwa. Mkuje kwenye uzi wenu. Kama naona dm ya jamaa itakavyojaa ma single mother leo.

Ila umewasifia kwa mambo mengi ya chumbani tu. Kuna mengi mengine hujayasemea.

Watu huwaponda single mother sio kwa mambo ya chumbani ila mambo yao mengine. Kwa hayo mengine ndio tunawashauri watu wasioe single mother. Kwa mambo ya chumbani tu, aaah Marshall masingle mother wanajua wanajua tenaa
 
sio kweli
Kweli tena waliokuwa na maisha ya shida kwao wanamtegemea na mtoto wake hapati huduma kutoka kwa Baba, huyo single mother kipato chake kiwe kidogo lazima atakufanyia madawa ili ukiomba pesa umpatie bila kuwasa, kama unataka kuamini uwe unaishi nyumba moja ya kupanga na ma single mother utawajua tabia zao kupitia story zao
 
Akili za kuambiwa changanya na zako!
7264a964a8f0493e9cac4ec090778c82.jpg
 
Back
Top Bottom