katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,756
- Thread starter
- #21
Atakuja tena atakuja kiutani tu.Katoto kazuri na Mimi nipo single muda mrefu Sana Zaid ya mwaka niliachana na mchumba wangu nimeamua nisubiri kwanza mke mwema toka kwa bwana

